Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

Kama ni kweli .kama sio kweli nini hoja yako
 
Ningetegemea ndo apanue mdomo kuhusu hayo mabehewa used lakini kimya kwa kuwa amepewa mKate wake
 
Mama kununua mabehewa mtumba kinyume kabisa na taratibu za manunuzi na ushahidi upo lakini kijamaa kilivyokinafika kimepiga kimya
 
Mimi huwa nafuga vikuku vyangu, nikiwa nipo nyumbani kuku huwa wananawiri kutaga na kustawi vizuri, nikipata safari hata ya wiki moja nikurudi nakuta kuku wamepunguza kutaga, wengine wamekufa na wengine wanafua wakati tyrodox na chakula niliacha.
 
Mali ya urithi isipoendelezwa halaumiwi marehemu, Bali warithi ndo huonekana hawana maarifa ya kutosha kuendeleza Mali hizo.

..Zitto anahoji kama ndege zilinunuliwa mpya au mtumba.
 
Mchakato unamaanisha madalali au maana waundaji wa ndege wakubwa ni boing na airbus au bombadier .ukitaka bei yake angalia kwa mtandao utakuta kila kitu
 
Hivi wewe umewezaje hata kujiunga humu JF!?

Binafsi nina mashaka hata kama unaweza ku-log in leave alone kujadili hoja yoyote ndani ya JF hata zilizopo majukwaa kama Mapenzi n.k.
Unajadili joja au tetesi zisizokuwa na ushahidi .huo zitto si alituambiwa tunauziwa terible teen na boing
 
Baada ya kununuliwa hizo ndege ilitakiwa shirika liendeshwe na sekta binafsi; hapo ufanisi ungekuwepo.

Kwa mazingira ya sasa, ili hizo ndege zikarabatiwe au zifuate matengenezo ya mara kwa mara kama inavyotakiwa, itakuwa ngumu kwa kufuata taratibu za kimanunuzi, inawezekana gharama ni kubwa na wakati mwingine zinahitaji matengenezo ya dharura, ambayo michakato imejaa urasimu; pamoja na hofu ya kutumia pesa nyingi kwenye matengenezo.

Kwa sekta binafsi, hakuna urasimu; ataangalia faida na hasara, na kufanya maamuzi papo kwa papo.​
 
Katika vijana wote machachari wa upinzani waliotengenezwa na Dr Slaa hakuna hata mmoja mwenye nafuu, wote wamebaki kama waropokaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…