Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
ACT HAIKUJIUNGA UKAWAWakati wenzake wanamgomea Jiwe Bungeni yeye si alibaki peke yake,Leo hii analialia nini?aache unafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACT HAIKUJIUNGA UKAWAWakati wenzake wanamgomea Jiwe Bungeni yeye si alibaki peke yake,Leo hii analialia nini?aache unafiki.
ACT walikua na ANNA MGHWIRA CDM NA UKAWA WALIKUA NA MR WHITE HAIRWakati flani wenzake walimsusia rais bungeni yeye alibaki amesahau?
Yericko ndio AKILI kubwa wa CDMHivi Yericko unamtafuta nini Zitto yaani umemshindwa Twiter umekimbilia uku kuja kumshambulia sasa naanza kuamini kwamba wewe Yericko ni mtu ambaye hujitambui
Wachumia tumbo wa Lumumba mnaumia sana kuona Chadema wanataka maridhiano. Mumejaa ushetani tupu na ubinafsiZitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli.
Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka 2020 huku wakiwaacha njia panda wanachama wa vyama vyao waliowaambia wajitoe kwenye chaguzi za serikali za mitaa.
Zitto ameenda mbali zaidi na kudai kinachohitajika kwa sasa Tanzania Bara ni siasa kali kama zilizofanywa na wapinzani huko Zanzibar mwaka 2001 ambako kulipelekea CCM kutaka maridhiano (ametumia neno kuomba poo).
Amemaliza kwa kusema, maridhiano hayaombwi bali yanadaiwa.
====
Hoja za wadau
Hivi mnataka kusiwe Na maridhiano ili kuwe Na nn? Nimeamini watanzania wengi sio wazalendoMbowe ni mnafiki sana hili liko wazi, kasusia uchaguzi , CCM wakachukua ushindi wa 99% tena na vijembe juu vya Polepole , leo eti unaomba nao maridhiano huu ni ujinga mkubwa , yaani mtu akufanyie ubaya tena wala samahani asikuombe , wewe uliofanyiwa ubaya ndio utoke kuomba samahani , nakwambia chadema imekubali kuwa kibaraka wa CCM , huu ni ukweli mchungu kabisa
Zitto hana malengo ya kutetea taifa Bali maslahi yake binafsj, yuko tayari watanzania wafe ili apate madarakaBaada ya Tundu Antipas Mughawai Lissu anaefuata ni Zitto Ruyagwa Zuberi Kabwe
Hawa ndio wapinzani wanaotetea wananchi
Wengine ni wafanyabiashara tu
Huyu anataka tuchinjaneToa uahauri wako basi wangefanyaje?
Tatizo LA zitto Ni unafiki, unakuwaje mzalendo huku ukitaka taifa lako liangamie kisa madaraka?View attachment 1288209Huyu hapa ni Zitto tarehe 19/08/18
Leo anaibeza cdm kwa kitu alichotangulia kukitaka.
Cc Matola Yericko Nyerere Sky Eclat Pascal Mayalla @malisagj
Vipi ndani ya CHADEMA kuna wa kupinga msimamo wa Mbowe.?Hivi msimamo wa Zitto Kabwe ndio msimamo wa ACTwazalendo? kama ndio basi akina Maalim wataburuzwa sana
Maalim anatakiwa ashtuke haraka kabla ya kung'amua kuwa amejiunga na chama cha kwenye Briefcase hatari sana
Kamati kuu ilikaa na kuamua kuwepo na maridhiano kwa hiyo maridhiano ni msimamo wa chama tofauti na Zitto ambaye matamko yake ya Instagram ndio (ninavyofikiria mimi) msimamo rasmi wa ACTwazalendo.Vipi ndani ya CHADEMA kuna wa kupinga msimamo wa Mbowe.?
Kwa hiyo kamati kuu ndio ilikaa na kuamua kuwapigia simu CCM na kuomba maridhiano.?Kamati kuu ilikaa na kuamua kuwepo na maridhiano kwa hiyo maridhiano ni msimamo wa chama tofauti na Zitto ambaye matamko yake ya Instagram ndio (ninavyofikiria mimi) msimamo rasmi wa ACTwazalendo.
Hebu angalia tofauti kati ya Chadema na Actwazalendo
Wewe na maccm wenzako ni mataahira.Chaggadema Hamna Akili.
Je kama ndio njia ya mwisho kabla ya kuingia msituni mwishoni nchi ikisha angamia ndio tutawaambia kuwa... look tulijaribu kila njia mkajimwambafy.Kwa hiyo kamati kuu ndio ilikaa na kuamua kuwapigia simu CCM na kuomba maridhiano.?
Pamoja na kufanyiwa umafia kwenye uchaguzi serikali za mitaa bado mmewapigia simu na kuomba maridhiano.?
Mkuu siku zinavyokwenda ndiyo unazidisha upopoma,kama vipi mfuate huyo jamaa yako huko Sweden.Kwa hiyo kamati kuu ndio ilikaa na kuamua kuwapigia simu CCM na kuomba maridhiano.?
Pamoja na kufanyiwa umafia kwenye uchaguzi serikali za mitaa bado mmewapigia simu na kuomba maridhiano.?
Achana na huyo mke mwenye gubuJe kama ndio njia ya mwisho kabla ya kuingia msituni mwishoni nchi ikisha angamia ndio tutawaambia kuwa tulijaribu kila njia mkajimwambafy.
Umafia hata kwa baba wa demokrasia upo. Watanzania tufunguke akili.Kwa hiyo kamati kuu ndio ilikaa na kuamua kuwapigia simu CCM na kuomba maridhiano.?
Pamoja na kufanyiwa umafia kwenye uchaguzi serikali za mitaa bado mmewapigia simu na kuomba maridhiano.?
Kwa hiyo suluhu ni kuungana nao sio?Umafia hata kwa baba wa demokrasia upo. Watanzania tufunguke akili.