Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Zitto hana chochote, yeye siku zote ni mpingaji wa kila kitu. . .uzuri ni kwamba kila siku tunazidi kuelewa hizi harakati zake za kipumbavu. Na akika vibaya anguko lake litakuwa baya sana kisiasa
Ukitumia akili, unachunguza anapinga Nini, na kwanini....huwezi tu kumjudge kwasababu hasifii sifii vitu
 
hp4510,
Point yangu Mkuu ni tukio zima kuandaliwa kimkakati na CCM hasa baada ya kuvuruga uchaguzi Wa serikali za mitaa na kuwepo na lawama kila kona,kwa sasa CCM hawana Nia nzuri na Taifa hili.
 
Pepesa macho ya kwenye tweeter kisha tafakari anacho andika Kigogo na Zito,Kisha rudi nyuma wakati kigogo akimzushia mabaya Rais soma ile mwanzo alivyo andikawote wawili,utajua kuwa
Kigogo=Zitto
 
Zitto hajawahi kupita majaribu wanayopitia CDM, hajawahi kuwa na kesi kama wenzie! Jiulizeni anaongea mangapi na kwanini yeye hachukuliwi hatua! Zitto sio mtu kwa kuaminika kabisa la na shetani peke yake!
Mbowe hakujikomba alimpa raisi ukweli mtupu, na uliwaingia wote waliosikiliza! kwendaaaaaaaaaaaaaaa!
Kumwamini yeye sio ishu bali point ni hicho alichokisema,huwezi kuukataa ukweli kisa aliyesema ana sifa ya uongo.
 
Vyama vya Upinzani viache kusutana viungane kutafuta maridhiano na kujiandaa kwa uchaguzi mkuu.Ukibaki nyuma kama wewe /chama hautafanikiwa,Nyie vyama ebu jifunze Historical background ya Kenya ,upinzani wa huko ni tofauti maana kule vyama vinapata nguvu kushinikiza mabadiriko vikisaidiwa na wananchi.Sisi huku tuna weak society,uelewa na woga wa wananchi huko chini sana,Integration ni muhimu kupata mafanikio.
 
Alikua mpinzani wa kwanza kuyakubali matokeo ya uchaguzi Mkuu uliomweka JPM tofauti na wenzake,wenzake wakitoka nje ya bunge yeye alibaki
Kubwa zaidi hata ile Operation UKUTA alisema yeye na ACT yake watachangia damu ili wapinzani CDM watakaoandamana wakipigwa na polisi ACT iwape damu.kwa ujumla huwa Yuko tofauti Sana na wenzake.
 
Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
tatizo lake anataka kila jambo zuri na jema lianzie kwake.
 
Watu wanaacha hoja ya msingi kujadili na kuanza kumjadili Zitto.
 
Egnecious,
Duuh! Hii kali!! Labda Mhe Zitto aliukana uraia wa DRC au Burundi alipofika umri wa miaka 18(eighteen years)! Sheria za nchi ziko wazi na straightforward. Majungu hayafai na wivu wa maendeleo ni hatari saaaana. Angalia usife kwa ugonjwa wa Preshia kwa kufikiria na kutafuta mabaya ya jirani badala ya kutafuta pesa(kama za Mhe Cheyo)!
 
Tatizo lako hasa kwa Zito ni nini ili usaidiwe?

Kwa nini unamshambulia Zitto kwa kutumia hoja ya ubaguzi eti tu kwa sababu ana mitazamo ya kisiasa tofauti na nyie?

Halafu Zitto kila hoja anayoitoa anakuwa anaitetea kwa facts. Sasa badala ajibiwe mnaanza kutafuta sababu ya kum - eliminate...

Hivi wewe unajua kuwa tukianza kutafuta asili ya kila mtu hapa tunaweza kuivunja vunja vipande vipande Tanzania yetu hii kwa sekunde moja tu?

Zipo tetesi zinazoweza kuthibitishwa na hustoria kuwa Rais Ben Mkapa na huyu wa sasa Ndg John Pombe Magufuli si watanzania kwa asili, utasemaje kuhusu hili??

Unataka watu wafike huko?

Tushindaneni kwa NGUVU YA HOJA na kamwe isiwe kwa HOJA ZA NGUVU NGUVU TU...
 
Point yangu Mkuu ni tukio zima kuandaliwa kimkakati na CCM hasa baada ya kuvuruga uchaguzi Wa serikali za mitaa na kuwepo na lawama kila kona,kwa sasa CCM hawana Nia nzuri na Taifa hili.

So hata sherehe ya uhuru wetu hatupaswi kusherehekea wala kwenda?
 
Mmmh, Huu uzi sijausoma mpaka mwisho, jamaa katumia muda na nguvu nyingi kuandika porojo..

Ameandika baba wa Zitto ametoka Kongo na mama ake ametoka Burundi, lakini Zitto amezaliwa Tanzania.. Hojo dhaifu sana kwa nchi yenye mchanganyiko wa makabila kama Tanzania..


Watanzania waliowahi kuwa katika nyazifa za juu kama ROSTAM AZIZ, SALIM AHMED SALIM, KINANA nk, karibu hawa nao tutasema sio wenzetu..

Obama alikuwa Raisi wa USA, Mama alikuwa Marekani Mzungu baba Mjaluo wa Kenya, lakini ameweza kuwa Raisi wa Marekani

Unapozaliwa ndio kwenu,hata kama baba anatokea sehemu tafauti na nchi uliyozaliwa
 
Alikua mpinzani wa kwanza kuyakubali matokeo ya uchaguzi Mkuu uliomweka JPM tofauti na wenzake,wenzake wakitoka nje ya bunge yeye alibaki
Kubwa zaidi hata ile Operation UKUTA alisema yeye na ACT yake watachangia damu ili wapinzani CDM watakaoandamana wakipigwa na polisi ACT iwape damu.kwa ujumla huwa Yuko tofauti Sana na wenzake.
Hata Nyani Ngabu alihamia CCM baada ya operesheni UKUTA kufeli!
 
Pascal Mayalla,
Maridhiano ni neno la jumla kama ukiamua kulivunjavunja hilo neno kwa faida ya jukwaa, linamaanisha nini?.

Nini faida za muda mfupi na mrefu za kuridhiana?.

Mbowe alizungumzia dynamics za kisiasa kubadilika baada ya Lowassa kuingia CDM 2015, hakuna kitu fulani kinachotafutwa kwenye maridhiano?.
 
Mbowe kampa Jamaa ushindi, Jamaa akirudi kule kwa wenzake atajigamba "kudadadeki...nimewaminya mpaka wamesanda"
 
Back
Top Bottom