Ukitumia akili, unachunguza anapinga Nini, na kwanini....huwezi tu kumjudge kwasababu hasifii sifii vituZitto hana chochote, yeye siku zote ni mpingaji wa kila kitu. . .uzuri ni kwamba kila siku tunazidi kuelewa hizi harakati zake za kipumbavu. Na akika vibaya anguko lake litakuwa baya sana kisiasa
Nimesema simtilii maanani mkuu....au huelewi maana yake?Ili
I'll umwelewe zito,sharti uwe na akili kubwa,Kama akili ni ndogo huwezi kumwelewa yule.
Kumwamini yeye sio ishu bali point ni hicho alichokisema,huwezi kuukataa ukweli kisa aliyesema ana sifa ya uongo.Zitto hajawahi kupita majaribu wanayopitia CDM, hajawahi kuwa na kesi kama wenzie! Jiulizeni anaongea mangapi na kwanini yeye hachukuliwi hatua! Zitto sio mtu kwa kuaminika kabisa la na shetani peke yake!
Mbowe hakujikomba alimpa raisi ukweli mtupu, na uliwaingia wote waliosikiliza! kwendaaaaaaaaaaaaaaa!
tatizo lake anataka kila jambo zuri na jema lianzie kwake.Zitto kapanic kwa lile walilofanya CDM jana, kashtukizwa hakutegemea, anatamani ile nafasi ingekuwa yake kwa tabia zake za ki_opportunist, toka jana ni twitter, insta habanduki huko, eti leo Zitto anataka siasa za mapambano anawafundisha CDM!, wonders shall never end, wakati ule anaenda kukutana na JK watu wanamuuliza kulikoni anasema JK ni sawa na babake, vipi leo Magufuli sio sawa na babake pia?!
Point yangu Mkuu ni tukio zima kuandaliwa kimkakati na CCM hasa baada ya kuvuruga uchaguzi Wa serikali za mitaa na kuwepo na lawama kila kona,kwa sasa CCM hawana Nia nzuri na Taifa hili.
Hata Nyani Ngabu alihamia CCM baada ya operesheni UKUTA kufeli!Alikua mpinzani wa kwanza kuyakubali matokeo ya uchaguzi Mkuu uliomweka JPM tofauti na wenzake,wenzake wakitoka nje ya bunge yeye alibaki
Kubwa zaidi hata ile Operation UKUTA alisema yeye na ACT yake watachangia damu ili wapinzani CDM watakaoandamana wakipigwa na polisi ACT iwape damu.kwa ujumla huwa Yuko tofauti Sana na wenzake.