Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

Ilitakiwa utoe ushahidi Wa vyeti na si maneno kwamba wazazi wake si watz
 
Kwa siasa za kishamba za awamu ya 5 Zitto ana hoja , asibezwe , Maridhiano hayalazimishwi , bali wengine hushawishiwa kuyakubali ikiwa yatafanyika , mimi ni miongoni mwa watu ambao sijaridhika na jambo la maridhiano ( maana naamini haiwezekani kuridhiana na shetani ) lakini naheshimu " plan " ya kamati kuu , maana wengi wape , kwahiyo usitegemee kila mtu kukubali kila kinacholetwa bila kutafakari .

Kumsingizia Zitto uraia wa nchi nyingine ni kupotoka tu , hoja hujibiwa kwa hoja .
 
Sio nyepesi kihivyo kwa Zitto mwenyewe. Kama tuhuma hizi ni kweli na ikathibitika hakuzaliwa Tanzania, ndoto yake ya kugombea Urais wa Tanzania inaweza isifanikiwe.
Yeye ajua zaidi kuliko wenye mamlaka? Wasimchukulie hatua
 
MsemajiUkweli,

Hii amesahau kama alisema?
IMG_7743.JPG
 
Egnecious ninachojua na kwa Historia ya Makabila kutoka katika Kitabu Kizuri cha Makabila ya Tanzania kinachopatikana pale Maktaba ya Taifa ( ambacho nashauri pia nawe ukitafute ukisome ) ni kwamba 98% ya Mababila yaliyopo nchini Tanzania yana Asili kutoka nchi Jirani nasi na zile zilizo mbali kidogo Kiukanda na Kijiografia. Mtu pekee ambaye Kidogo na nahisi hata hizo 2% zilizobaki hapo zitakuwa zinamuhusu ni Mgogo kutoka Mkoani Dodoma ambako ndiko pia Makao Makuu ya nchi yetu hii ya Tanzania. Hata Wewe hapa ambaye unamsema / unamnanga Zitto Kabwe tukikuchunguza Kiundani kabisa ni Mkimbizi tu kama tulivyo / walivyo Wakimbizi wengine. Acha Ubaguzi na mkabili Zitto Kabwe kwa Hoja zenye Mashiko na Mantiki na siyo Kiukabila kwani hapa unaweza Kuturahisishia Kazi ya kukujua jinsi ulivyo ' Popoma ' hapa Jamvini.
 
Baada ya Tundu Antipas Mughawai Lissu anaefuata ni Zitto Ruyagwa Zuberi Kabwe
Hawa ndio wapinzani wanaotetea wananchi
Wengine ni wafanyabiashara tu
 
Madikteta nao huwa wanafanya maridhiano? Au sio huyu tunayeambiwa ni Dikteta ambaye anaongoza nchi kidikteta na ndiyo aliyetaka kumuuwa Lissu?
 
Zitto yuko sahihi.....
Unasherehekea uhuru gani wakati kuna watu wanatekwa, wanapigwa risasi mchana kweupe na hasemi chochote, wanauawa, wanabambikiziwa kesi za uhujumu uchumi, wanabambikiziwa kesi za madawa ya kulevya,.n.k????
.
 
mbna yeye, siku ya ufunguzi wa bunge, alibaki ndani huku CDM wakitoka nje, hakuona ajabu, au akili zake hazikuwepo kipindi hicho?
Kwa hiyo kama kipindi kile alikosea ndio inahalalisha Chadema wakosee sasa?
Kwa alichofanya Mbowe kwa upinzani ulipofikia sasa ni kituko kuomba huruma kwa Magufuli
 
Mods msiondoe maana ni Uzi kamili kabisa wenye manufaa. Kama mleta Uzi hautaki tena badili hapo juu iwe umeletwa na Chakaza.
Bigup mleta Uzi!
 
.
Alikua mpinzani wa kwanza kuyakubali matokeo ya uchaguzi Mkuu uliomweka JPM tofauti na wenzake,wenzake wakitoka nje ya bunge yeye alibaki
Kubwa zaidi hata ile Operation UKUTA alisema yeye na ACT yake watachangia damu ili wapinzani CDM watakaoandamana wakipigwa na polisi ACT iwape damu.kwa ujumla huwa Yuko tofauti Sana na wenzake.
image.jpeg
hqdefault-9.jpeg
1477143_3.jpeg
 
Egnecious,
Ana Hasira Sana alivyokuwa anakula keki ya taifa kupitia nssf. Hiyo fursa sasa hana anapiga makelele tu na vibaraka wake alipokuwa anakula alikaa kimya. Wanasiasa wa África ndivyo walivyo.
 
Back
Top Bottom