Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayezuia siasa zisifanyike na wanaozuiwa, anayetuma polisi wanyanyase wapinzani na wanaonyanyaswa na mambo kama hayoYatakuwa ni maridhiano kati ya nani na nani?!
Yeye ajua zaidi kuliko wenye mamlaka? Wasimchukulie hatuaSio nyepesi kihivyo kwa Zitto mwenyewe. Kama tuhuma hizi ni kweli na ikathibitika hakuzaliwa Tanzania, ndoto yake ya kugombea Urais wa Tanzania inaweza isifanikiwe.
Mama yake Zitto alikuwa Mbunge wa Tanzania .Ilitakiwa utoe ushahidi Wa vyeti na si maneno kwamba wazazi wake si watz
Kwa hiyo kama kipindi kile alikosea ndio inahalalisha Chadema wakosee sasa?mbna yeye, siku ya ufunguzi wa bunge, alibaki ndani huku CDM wakitoka nje, hakuona ajabu, au akili zake hazikuwepo kipindi hicho?
Alikua mpinzani wa kwanza kuyakubali matokeo ya uchaguzi Mkuu uliomweka JPM tofauti na wenzake,wenzake wakitoka nje ya bunge yeye alibaki
Kubwa zaidi hata ile Operation UKUTA alisema yeye na ACT yake watachangia damu ili wapinzani CDM watakaoandamana wakipigwa na polisi ACT iwape damu.kwa ujumla huwa Yuko tofauti Sana na wenzake.