MsemajiUkweli,
Maajabu hayawezi kuisha,chama chenye mbunge mmoja kinapiga mikwara kama vile wanamiliki nusu ya viti
Maajabu hayawezi kuisha,chama chenye mbunge mmoja kinapiga mikwara kama vile wanamiliki nusu ya viti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
Kama hujaelewa subiri kwani Mbowe alichokisema pale UWANJANI ndio hicho wote tulichokisikiaMimi binafsi hadi sasa bado sijaelewa maridhiano aliyoyaomba Mbowe mbele ya JPM ni yapi kati ya haya
Chadema wafutiwe kesi zao?
Uchaguzi serikali za mitaa urudiwe?
Ccm waache kuchukua wabunge na madiwani wa chadema?
Yani kwa kweli sijaelewa siku Chadema wakikutana na serikali wataongelea nini kuhusiana na hayo maridhiano
Ndio mda mwingine namuona Zitto yupo sasa maana sioni chochote cha muhimu
Kwa hiyo mnatambua kuwa JPM ndiye RaisNamshauri Zitto kabwe asibeze hatua ambayo Chadema wameamua kuchukua.Badala yake kupitia chama chake cha ACT MAENDELEO nao Wachukue Hatua waitakayo.Chadema kutaka maridhiano hakumzui Zitto na Chama chake kuingia Barabarani.
Kamati kuu=MboweKamati kuu ilikaa na kuamua kuwepo na maridhiano kwa hiyo maridhiano ni msimamo wa chama tofauti na Zitto ambaye matamko yake ya Instagram ndio (ninavyofikiria mimi) msimamo rasmi wa ACTwazalendo.
Hebu angalia tofauti kati ya Chadema na Actwazalendo
Tanzania tuna sheria mbovu tunaruhusu Sacco's ifanye siasa msajili anasubiri ninCHADEMA ni Saccos
Kama ungekua hauna nguvu usingefanyiwa figisu unazofanyiwaUpinzani umelegea, hauna nguvu tena.
Zitto ni mnafiq na sio MTU wa kumtilia maanani hapa ni mwaka Jana tarehe 19/08/2019View attachment 1288213View attachment 1288211
Wanataka maridhiano kwani kuna mafarakano?
wasimpotezee focus Rais