Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

Mtoa mada labda atakuwa katika umri Wa chini ya miaka 30.Kwasababu enzi zile wazazi walifanya jitihada watoto wao wasome sekondari hata kwa kurudia darasa la Saba mara kadhaa.

Kumbuka nafasi zilikuwa chache kuingia sekondari.Ilikiwa ni kawaida kusoma na mtu darsa moja huku amekuzidi miaka sita sababu ya kurudia.

Wapo wahadhiri,wabunge na mawaziri waliokazini na wamepitia njia hizi.Walikaa darasani na kusoma.Hakuna alietumbuliwa kwa vyeti feki.Labda mtoa mada ana jambo lake mahususi kwa huyu mzee awe wazi tu.
 
Mamlaka ya uteuzi ilitakiwa kufanya uchunguzi wa kutosha kipindi kile anateuliwa na rais Kikwete maana ni kweli kwamba alitumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne. Watu wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo...

Ingekuwa kweli, lazima Magufuli angeliweka wazi.
 
Wabongo wameamua kumtafuta tu huyu profesa.
 

Mara darasa la Saba mara form four. Tuchukue kipi tuache kipi?
 
Mamlaka ya uteuzi ilitakiwa kufanya uchunguzi wa kutosha kipindi kile anateuliwa na rais Kikwete maana ni kweli kwamba alitumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne. Watu wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo...
Unahangaika kutafuta angle ya kumpunguzia matone machafu mungu wako wa chato
 
Mamlaka ya uteuzi ilitakiwa kufanya uchunguzi wa kutosha kipindi kile anateuliwa na rais Kikwete maana ni kweli kwamba alitumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne. Watu wengi miaka ya nyuma walifanya hivyo...
Hii habari inaonyesha JPM aliijua kwa kina na alikuwa mstari wa mbele katika vita yenyewe.

Sawa sawa na alivyokuwa mstari wa mbele katika suala zima la kudukua maongezi ya simu ya kina Mzee Kinana na Nape.

Hii inatoa picha mbaya sana kumhusu hayati JPM kuwa ni mtu aliyekuwa karibu sana na masuala ya kikazi akiwa na nia mbaya zilizojificha. Na hii siyo sifa kwa kiongozi wa kitaifa kwa kuzingatia ukubwa wa kiapo chake.

Mnavyozidi kuanzisha nyuzi kama hizi muwe makini katika maelezo yenu mnaweza kuwa mnabomoa legacy ya RIP kuliko kuijenga.
 
Ukirudia shule unabadilisha jina? Basi sawa.
Mara nyingi ilikuwa LAZIMA ubadili jina.

Na wanaposema kurudia sio kurudia kama huku kwa kufeli Darasa la IV kisha unarudia tena Darasa la IV bali ilikuwa unamaliza Darasa la VII lakini unakosa nafasi ya kuendelea Kidato cha I.

Sasa kwavile options za private schools hazikuwepo, ilikuwa ukifeli Darasa la VII, unafanya maarifa na kwenda kusoma shule nyingine ukianzia darasa hilo hilo la 7, au chini ya hapo!!
 
Linakutisha neno professor mbona wapo vilaza professor na tunawafahamu
Unajua mtu hupitia hatua gani mpaka kuwa professor!?...kilaza anaweza kuwa professor!?...mbona hakuna mantiki kwenye hoja yako,acha upumbavu
 
Vip Makamba aliyeiba Mthihani wa kidato Cha nne na kufutiwa matokeo?
Leta ushahidi.. Mwanzoni nilifikiri unaendeshwa na akili zaidi baadae nikaja kugundua unaendeshwa na emotions zaidi ukiachana na kutojua kuandika ndio nikakudharau kabisa
 
Prof. Assad mwenyewe alishalielezea hili na kwanini anaitwa Mussa japo jina alilopewa na wazazi wake ni Jaffar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…