Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Aliyetangaza upande wa Kenya ni mwanasiasa na hajatoa ushahid wa kisayans kuthibitisha hayo madai
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Happy women's day to you Nyankurungu2020
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Acha uzushi kwan sisi watz tunakula mahindi haya haya na tunaendelea kudunda , wakenya wazushi tuu
 
Kweli hili Taifa halitaendelea hadi wapumbafu waishe.Hivi raia wa Tanzania kuisemea nchi yake kwa maslahi ya nchi na wananchi wa nchi yake ni vibaya kweli.
Yaani tunaweka siasa kwenye kila eneo na watu wanaona bora Tanzania ipate shida kisa tu hawaipendi CCM.
Niwaambie tu wale wanaoichukia CCM na inapelekea kuichukia Tanzania zipo nchi nyingi mnaweza kuhamia.
Iwe kwa kusingizia mko hatarini au kwa uwezo wa vipato vyenu.
Na kama hizi ndio akili za wapinzani wa Taifa hili basi CCM ituongoze hadi pale tutakapo pata wapinzani wenye akili timamu.
Na MUNGU atuepushie kabsa kuja kuongozwa na watu wanaofurahia matatizo ya nchi yao.
 
Siku hizi ‘ utaalamu’ Sio lazima uwe umeupata formelly-kukaa darasani na kusomea mambo fulani, unajiongeza tu mwenyewe mwenyewe mpakaunakua mtaalum, lol
 
Haya ni maajabu. Yaani Zitto Kabwe ameanza kuwa mzalendo wa nchi yake. Tundu Lissu huko aliko atakuwa amefura sana na hii U-turn ya Zitto.
 
Zitto ni Mchumi, anazungumza kwenye eneo hilo, huwezi kuzungumza uchumi wowote duniani bila kuangalia chakula, swala la chakula ni la kiuchumi ukicheza nalo utasababisha inflation . Siyo swala la kick- kwani Zitto hafahamiki mpaka adandie hoja ya mahindi?
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
 
Haya ni maajabu. Yaani Zitto Kabwe ameanza kuwa mzalendo wa nchi yake. Tundu Lissu huko aliko atakuwa amefura sana na hii U-turn ya Zitto.
Hamna uzalendo hapo yeye ndiyo amesaidia taarifa ya kenya kuonekana ni kweli, kwa kuthibitisha mahindi ya mikoa miwili yana sumu.
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Wewe ni mpu.mbavu sana! Zitto ni Kiongozi Mkuu wa Chama tena mwenye maarifa makubwa! Wewe unadhani hana washauri kwenye kila fani! CCM tumejaza midude mijinga sana awamu hii ya 5!
 
Zitto ana akili zaidi kuliko Lissu anaehoji Rais yuko wapi kisa hajamuona kanisani.
Mbona Zitto alishawahi kusema Raisi wetu kapigwa radi na Wazee wa Ruangwa au umesahau

Lissu hamumuwezi na hizo IQ zenu hafifu
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Moja ya vutu ambavyo huwa nawapongeza wanakigoma, nikumgaragaza na kumtimua kwenye ubunge huyo zito. Kwakweli wanakigoma Mungu awabarikii.
 
Back
Top Bottom