Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Mtaalamu wa usalama wa chakula anapimwaje na kujulikana mtaalamu?

Zitto ni kiingozibwa upunzani. Unajuaje hajaongea kwa kuwakilisha maoni ya wataalamu?
 
Mtaalamu wa usalama wa chakula anapimwaje na kujulikana mtaalamu?

Zitto ni mbunge. Unajuaje hajaongea kwa kuwakilisha maoni ya wataalamu?
Unajua TBS wanafahamu vipi ubora wa chakula au vipodozi? Wapi ameweka maoni ya wataalamu?
 
Alafu kwanini chadema linapotokea mgogoro kati ya Kenya tz huwa wanasimama upande wa Kenga?

Kwanini chadema mnajiona wanyonge sana mbele ya wakenya?
Kwani cdm ndio walio toa cri yakow mahindi yeti yanga sumu
 
Unajua Tbs wanafahamu vipi ubora wa chakula au vipodozi? Wapi ameweka maoni ya wataalamu?
Mtaalamu wa usalama wa chakula anapimwaje na kujulikana mtaalamu?

Zitto ni mbunge. Unajuaje hajaongea kwa kuwakilisha maoni ya wataalamu?

Hujajibu maswali yangu.
 
Kwanini unajikomba komba wewe. Kama angelisema yule mvuta bangi sijui Kasheko usingesema kitu, pumbafu zako Mwache Zitto wa watu
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Ibara ya 18 ya katiba ya Tanzania inasemaje
 
Mmeona madhara aliyosababisha Zitto kule twitter mmeamua kutumia mlango wa nyuma kumsafisha😂😂 Zitto Kabwe kwa UTAFITI WAKE ameshaitangazia dunia kuwa Mikoa miwili ya Tanzania mahindi yake yana sumu, ndio uzalendo wake wa kuwatetea wakulima!!
 
Kenya wamekuwa mwiba mkali ambao unatumiwa na nchi za magharibi. Ikumbukwe hayati Mwalimu JKN alifunga mpaka wa Kenya na Tanzania kwa miongo kadhaa hadi pale Marehemu EMS alipomuomba Mwalimu afungue mpaka kwa unyenyekevu mkubwa na kuchukua mzigo wowote utakaotokana na kasoro ndogo ndogo.

Kenya watch out the Boss is just watching. JPM huwa hajaribiwi, majuto ni mjukuu. Nafahamu hizi zote ni frustration tu kwa sababu Serengeti ndio voted mbuga bora zaidi Ulimwenguni hivi sasa kutokana na watalii wanavyoona na Kilimanjaro ndio vile tena, ule uwongo wa enzi zile umekwisha hivyo tuheshimiane.
 
Great piece of work Zitto, this whole saga will soon hit back on corrupt politicians in Kenya... Look like someone is trying to raise funds for the next year elections through Mexico maize deal.
 
Kila taifa lina mamlaka husika kulinda mipaka na usalama wa raia wake. Anapoibuka mwanasiasa anayetaka kutumia tukio fulani kupata umaarufu wa kisiasa ni upuuzi ambao hauna nafasi kwenye dunia ya leo.

Mamlaka ya Kenya kuangalia usalama wa chakula ina watalaamu wanaofanya kazi kwa weledi na utalaamu. Kuibuka mwanasiasa mnafiki kukosoa na kudai mahindi ni salama bila ushahidi wa kisayansi ni upuuzi.
Hayo mahindi kenya wameanza kuyachukua leo? mabepari ya kenya huwa yananunua mahindi kutoka Tanzania kwa pupa na kwenda kuyahifadhi katika mzingira ya hovyo jambo ambalo huzalisha sumu kuvu kwa wingi yakiwa yamehifadhiwa huko huko kwao, tatizo la aflatoxin halijaanza leo kenya, milipuko imekuwa inatokea mara kwa mara tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 zaidi ya watu 200 walilazwa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin na watu 20 walifariki. Tatizo la aflatoxin kenya linasababishwa na mabepari kuhodhi mahindi na kuyahifadhi kwa muda mrefu na baadaye kuyatoa kwa bei nafuu kwa watu maskini ambao huwa wamekumbwa na uhaba mkubwa wa chakula. Mbona tatizo la viwango vya juu vya aflatoxin kwenye mahindi ni nadra sana kuripotiwa Tanzania..na tafiti zilizofanyika maeneo mbalimbali nchini zimeonyesha viwango vya chini kabisa vya aflatoxin kwenye mahindi yaliyovunwa ambavyo haviwezi kuwa na madhara kwa binadamu. Kama Zitto kaongea na yeye amekuwa informed na mamlaka za usalama wa chakula Tanzania, au unafikiri hizo mamlaka za kenya ndo zipo reliable kutoa accurate data, bullshit..
 
Back
Top Bottom