Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

Kuwanyima fursa ya kusoma watoto wa masikini waliopata ujauzito kwa kubakwa au hali duni ya kimaisha,wew na ccm wenzako mnanufaikaje labda?
Are sure that all pupils who get pregnant were rapped? Use your brain to think.mtoto huyo asome QIT.shida iko wapi?
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.

Kwa kuwa hiyo pesa ni ya mkopo marejesho yake yatawahusisha Watanzania wote wakiwemo wasichana walionyimwa haki ya kusoma elimu waitakayo. Ina maana wewe binafsi utaridhika kulipa mkopo ambao haukunufaika nao?
 
Zito yupo sahihi sana kwa hili, MaCCM yanazingua tu. Haki sawa kwa watoto wote.
 
Haya Majamaa Maeneo Na Vibanda Baadh Vilikuwa Vyao,vingine Yamepita Kupora Vibanda Na Maeneo Kujifanya Yao Na Kusajil Vibanda Vyao Na Kulipa Benk Hayajatosheka Hadi Kupiga Kwingine Tena.
 
Are sure that all pupils who get pregnant were rapped? Use your brain to think.mtoto huyo asome QIT.shida iko wapi?
Unanitisha na kingereza kibovu hiki,ni wapi nimeandika wanafunzi wote wanaopata ujauzito walibakwa tu?Mijitu mingne bhana
 
Zito mpumbav flani tu. Yaan kazuia hizo hela kwa wasiwasi kwamba serikali itazipeleka kwenye uchaguzi mkuu. Subirini muone baada ya uchaguzi kama ataongea tena msheensi yule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Mkuu wewe ni mtu mwenye akili tumia akili yako vizuri.

Ivi unaamini WB wanaeza sikiliza maneno ya zitto?

Tumia tena akili yako vizuri...

Unadhani ni kweli WB wamenyima Tz mkopo kisa zitto kasema mkopo usitolewe?

Usipende kuamini kila kitu unaposikia. Tumia akili yako kwanza ndio uamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu Wana akili mno .Kuna mtu kanitonya

Ni kuwa world Bank kuna mabosi wa kiislamu wa uarabuni waliongea nao kuhusu ajenda za kuruhusu ndoa za utotoni sababu kwenye uislamu kuoa mtoto ruksa.Sisi Kuna Sheria ya Haki za mtoto kusoma nk na umri wa kuolewa ni miaka 18 na kuendelea .Wakaona kutubadilisha Ni wagumu

Ndio wanapitia world Bank ili itumike Tanzania kuhalalisha ndoa za utotoni

Zitto Kabwe kabeba agenda ya kidinii zaidi akitetea ndoa za utotoni za kiislamu .Wapata mimba wengi utotoni ni wasichana wa kiislamu ili likipita vitoto vya kike vikina Asha Ngedere,Mwajuma Nichokonoe,Maimuna Kigodoro nk wasiogope kubeba mimba wakiwa wadogo

Lengo kuu kuhalalisha mimba za utotoni
We ni mpumbavu sana. Kwanini unakashfu dini za wenzako kwa hoja dhaifu. Hivi kwenu dunia au tanzania tunayoishi ni yakubaguana na kukashfiana kiasi hiki? Unadhani waislam wanajisikiaje wakisoma utumbo kama huu? Kwanini JF mtu kama huyu asidhibitiwe? Yawezekana we mwenyewe ni zao muislam siri anayo mama yako alafu mama yako anaona ukikshfu waislam kwa hoja za kipuuzi
 
Hivi babu yako Bernard Membe alishafika mbele ya kamati ya maadili ya CCM kwenda kujieleza kuhusu uhaini aliofanya dhidi ya nchi na Meko as well.
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
katafuteni nchi yenu akufanyia ujinga wenu nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba mtaongea sana lakini hamuwezi kushindana na sisi
Naona nzi mpya wa kijani umesajiliwa hapo Lumumba. Eti nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba. Hivi huoni jinsi bwana' ako Jiwe (mwenye kichwa chenye kona kona kama limao) anavyoendesha nchi kinyume na Sheria na Katiba ya nchi?
 
zitto ameongea point nzuri za kizalendo na zinaeleweka...??
 
Nawaza tu... Ni watoto wangapi watakuwa wamekosa mikopo kwajili ya barua aliyoa andika Zitto.
What if hao watoto wakiamua kumtafuta Zitto ili awape yeye hela za kusomea chuo.
Je yeye watoto wake wanasoma kayumba au wanategemea mkopo wa Serekali???

Sasa kesho nisikie mtu analalamika juu ya Serekali haijatoa mkopo kwa mwanafunzi wakati alie andika barua kuzuia mnamjua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!

ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Wewe ni mpuuzi kweli, tangu lini serikali haramu ya CCM ilisaidia Elimu? Hiyo pesa Magufuli ataitumia kujenga Chato na kununua silaha za kuulia Wapinzani, so forget about that loan hampewi washenzi nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom