Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo aruhusiwe kusoma na mimba yake ili afaidi mkopo?Hii nchi ni yetu sote, bint kapata mimba form two na Nchi yetu inakopa bilion 500 ila tukumbuke huyu aliepata mimba na mwanae wote watakujakulipa huu mkopo kwanin tuwatenge kwenye elimu.
Anayekopa Ni binti au serikali? Huyo binti analipaje mkopo?Hii nchi ni yetu sote, bint kapata mimba form two na Nchi yetu inakopa bilion 500 ila tukumbuke huyu aliepata mimba na mwanae wote watakujakulipa huu mkopo kwanin tuwatenge kwenye elimu.
Viko chini ya wizara ya Elimu Sayandi na Teknolojia na si wizara ya Maendeleo ya jamii vilishahama hukoZitto anatapatapa. Hivi vyuo viko chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii , Jinsia, Wazee na Watoto.
Asante Ndugu kwa kuniweka sawa.Viko chini ya wizara ya Elimu Sayandi na Teknolojia na si wizara ya Maendeleo ya jamii vilishahama huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kumbuka kuna sera ya kutowategemea mabeberu, siju kwa nini tunasikitika!Hapa ndo naona maana ya sheria ya Kukataza warundi kuja kufanya siasa nchini. Zitto alimmukana Lissu kwa Sababu hizi hizi za kuomba kunyimwa miisaada leo kabugia tapishi lake na kushushia ulanzi wa baridi. Haya tumenyimwa msaada wale ndugu zake zitto Kule kazullamimba na funza wanapata faida ipi kama si uhaini wa nchi
Achs ushabiki wa kichama mbona Zitto maelezo yanaeleweka.Tanzania ikinyimwa huo mkopo nyinyi na chama chenu mnafaidika nini? Hao watoto ambao hela hizi zilikuwa zikawasaidie watafaidika nini na hio 3-0 ya Zitto?!
ID ya chama kabisa inakuja kuleta ushabiki maandazi JF.
Serikali inapata wapi hela kama siyo kodi kutoka kwa wananchi wake wote?Anayekopa Ni binti au serikali? Huyo binti analipaje mkopo?
Akili hawanaHatujanyimwa, umecheleweshwa tu.
Zitto Kabwe amezuia ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu kwa madai kuwa CCM wanataka kuiuzia serikali vyuo vyake ili vibadilishwe kuwa shule za serikali.
Ndiposa namuuliza Zitto, Je kuna ubaya gani CCM kuiuzia serikali vyuo vyake kama ni kweli wana hiyo nia?!
cc: Chakaza, Pascal Mayalla, Tindo
Maendeleo hayana vyama!
We mbwa shirikisha ubongo wako unapoandika kitu huu ushenzi wako uloweka hapa hauvumiliki, nimejitahidi nipite bila kuquote moyo umegoma, koma kabisa kuchezea imani za wengine tena ukome kwelikweli mshenzi mbwa koko wewe, umeona ukiandika hoja zako bila kutaja neno Islam Hutopata furaha sio???Wazungu Wana akili mno .Kuna mtu kanitonya
Ni kuwa world Bank kuna mabosi wa kiislamu wa uarabuni waliongea nao kuhusu ajenda za kuruhusu ndoa za utotoni sababu kwenye uislamu kuoa mtoto ruksa.Sisi Kuna Sheria ya Haki za mtoto kusoma nk na umri wa kuolewa ni miaka 18 na kuendelea .Wakaona kutubadilisha Ni wagumu
Ndio wanapitia world Bank ili itumike Tanzania kuhalalisha ndoa za utotoni
Zitto Kabwe kabeba agenda ya kidinii zaidi akitetea ndoa za utotoni za kiislamu .Wapata mimba wengi utotoni ni wasichana wa kiislamu ili likipita vitoto vya kike vikina Asha Ngedere,Mwajuma Nichokonoe,Maimuna Kigodoro nk wasiogope kubeba mimba wakiwa wadogo
Lengo kuu kuhalalisha mimba za utotoni
Hiyo sababu wewe unaiona ndogo bwashee!Hiyo ndo sababu peke yake aliyotaja au umeamua kuchukua kakipengere unakokataka?
Zitto mnamtafutia sababu lakini sababu kuu ni utawala mbaya na wa mabavu, umemsikia Zitto analalamika kwamba humu ndani hata nafasi ya kutoa maoni mkafanya majadiliano haipo! Sasa kama nafasi ya kuongea yenyewe hupewi unataka nini? naamini ili dhahabu ing'ae lazima ipitie motoni. Huu ni mwaka wa uchaguzi ccm watajigawia pesa hizo bila mpangilio kama walivyoiba pesa za EPA.
Mmesitukiwa wezi wakubwa nyie ! Tangazeni mnauza hizo shule hadharani ili sisi Matajiri tuje kuwaokoa , hela za wazungu ni za moto kudadeki zenu !Zitto Kabwe amezuia ujenzi wa madarasa 1000, maabara na nyumba za walimu kwa madai kuwa CCM wanataka kuiuzia serikali vyuo vyake ili vibadilishwe kuwa shule za serikali.
Ndiposa namuuliza Zitto, Je kuna ubaya gani CCM kuiuzia serikali vyuo vyake kama ni kweli wana hiyo nia?!
cc: Chakaza, Pascal Mayalla, Tindo
Maendeleo hayana vyama!