Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.

Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.

Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.

CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
 
Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries
Unaijua Botswana? Ni nchi ya chama kimoja? Namibia ni nchi ya chama kimoja? Singapore, Hong Kong, Brazil, ni nchi za chama kimoja?
 
Hawa walizoea kwenda kuoshwa matako ulaya baada ya mwenda zake kubana sasa wanafia kwenye ndege.
Kama ndege hizo zingemaliza madeni ya MSD je wanafunzi wanao ongezeka kila siku ingekuwaje? Je mabalabala yasingetengenezwa? Mishahara je? mambo mengi hata ya tiba hizo pesa zingekuwa zinatoka wapi maana ndege hazitakuwapo?

Itafika siku watasema wauze mahospitali ili walipe watu mishahara.
 
Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries
Kwa hiyo unataka wapinzani waungane na watawala kuficha taarifa za ubadhirifu na wizi wa mali za umma unaotekelezwa na watawala mafisadi?!
 
Hawa jamaa naona suala la Ndege linawapa kiki, Kila mtu Ndege. Ndege. Utadhani hassara itokanayo na Ndege ilianza Jana au juzi.

Si bora kunahasara lakini Ndege tunaziona. Soma report za CAG kuanzia miaka ya tisini halafu ndo mtajua kua wanaoshadadia hili swala kwa kumchafua ni wachumia tumbo au ni watafuta kiki.

Ila naamini mda si mrefu Mh, Mama Raisi atawagundua janja janja yenu.

CCM-kuweni makini, mnachimbiwa Kaburi.
Yaani tuchukue mfano wa ujinga wa zamani kuendeleza ujinga?
 
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Sawa MSD wanaidai Serikali lakini pia inachangiwa na Uongozi mbovu wa MSD kuweza kuzitumia vizuri hela zinazopelekwa pale MSD.

Hili jambo kuhusu MSD limewai kuongelewa siku za nyuma hapa JF. Uongozi pale MSD ni tatizo kubwa sana kumekuwa na rushwa kubwa sana kwenye upande wa manunuzi pia dawa zimekuwa zikiharibiwa kila mara kutokana na over procurement.

Sio kwamba Serikali haijapeleka hela MSD hapana, hela imepelekwa sana isipokuwa zinatumiwa vibaya na Uongozi uliyopo, hela zinaelekezwa kwenye matumizi mengine badala ya kununua dawa. Kiongozi aliyepo kila siku anakimbizana kuwatoa wafanyakazi kwa kusikia majungu badala ya ku-deal na mifumo.

Serikali inaleta hela hapa MSD isipokuwa zinaelekezwa kenye matumizi mengine. Ningeshauli hebu CAG apitie ripoti za kaguzi mbalimbali zilizowaifanyika ili kubaini ukweli. Pamoja na deni lakini MSD pana shida ya Uogozi.
 
Na hii ndio maana ya Prof. Assad "cash ifanyie mambo mengine" nunua madawa kopa ndege, biashara itajiendesha deni linalipwa.
Ila one man show, mipango ya ndege mwenyewe, mnunuzi mwenyewe, angekua na uwezo angekua rubani ye mwenyewe.
 
Nyerere ujamaa ulimshinda sijui unaongea nn ww,kasome historians ya tz
Sijazungumzia ujamaa wala ubepari
Nimezungumzia mfumo wa vyama vya Siasa, unaelewa vizuri
Wezi huchukia Demokrasia
Sawa
Kwa hiyo unataka wapinzani waungane na watawala kuficha taarifa za ubadhirifu na wizi wa mali za umma unaotekelezwa na watawala mafisadi?!
Uelewa ni shida sana siku hizi,
Hayo unayasema wewe na wala sijayatak yawe
 
toa suruhisho mkuu mfumo upi wa chama kimoja ama
Tunapotaka kufanya maendeleo ya nchi
Yatupasa kuangalia vitu vingi sana mkuu wangu hasa hasa hii dunia ya sasa,

Yataka intelligence ya hali juu kuleta maendeleo katika mataifa kama Tanzania

Kuondoa siasa ya vyama vingi ni moja ya intelligence moja wapo laasivyo hatufiki popote au tuende kwa mwendo mdogo sana

Lazima tuwe na one direction kama ilivyokua kwa THE GREAT LEAP FORWARD china
Haya Shauri Zetu
 
Akili za Marehemu
20210411_080757.jpg

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Ukiangalia kwa jicho la tatu zito na kigogo2014 wanajuana au zito ni sehemu ya kigogo....
 
Unaijua Botswana? Ni nchi ya chama kimoja? Namibia ni nchi ya chama kimoja? Singapore, Hong Kong, Brazil, ni nchi za chama kimoja?
Safiii Sanaa
Singapore ilipata Uhuru Sawa na Tanganyika Mwaka 1961

Leo hii huo mfumo wa Chama kimoja Singapore umewafikisha wapi ? Jibu nadhan unalo
 
Back
Top Bottom