Zitto Kabwe: MSD haina mtaji wa kununua dawa na mtaji wa MSD ni bilioni 500, sawa na fedha ilionunua ndege moja

Ww lazima utakuwa ni mzee, ndio maana una mitazamo so outdated. Uzuri wa hii mitandao ya kijamii, hata nyie wazee mliopeteza ramani mnapata nafasi ya kupunguzia uzee.
 
Na hii ndio maana ya Prof. Assad "cash ifanyie mambo mengine" nunua madawa kopa ndege, biashara itajiendesha deni linalipwa.
Ila one man show, mipango ya ndege mwenyewe, mnunuzi mwenyewe, angekua na uwezo angekua rubani ye mwenyewe.

Marehem si msukuma mwenzio?
 
Y
Yaani unasema hata yule kiongozi, aliyeteuliwa mwanajeshi pale MSD kashindwa??
 
Mshahara wa mbunge 12M akiwa waziri top up 7M

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries
Hivi wao huwa hawajiulizi kwanini huko hawana hayo meeeeengi !? Na hawasemi hivyo kama wako sokoni!?

Watanzania shitukeni tunauziwa maneno.. theatre ya wasanii wachache wanacheza na maneno kuyapa uzito usiokuwa na maana... Tukafanye kazi.. ni mjinga anadhani isiponunuliwa ndege atapewa yeye hiyo hela.. wote hawa wanasiasa wezi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Una akili ya kuku hiiiii
 
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Kwa dikteta ndege ni muhimu kuliko afya ya binadamu
 
Mataga pori mnalazimisha watu wasifu na kuabudu ugoro.

Hizo ndege sio za ukoo na sio kwa ajili ya kuziona ni kwa ajili ya ku-generate profit.

Yani mnakopa 1.2 Trillion kwa ajili ya ujenzi wa madarasa alafu mnatumia 1.5 trillion kununua ndege ambazo ni hasara tupu kwa taifa alafu mnatupangia cha kuongea?????????
 
Mfumo wa vyama vingi haujawahi kuwa na msaada katika maendeleo ya nchi zinazo endelea(Developing Countries) tena kwa dunia ya sasa.
Guys go and learn from developed countries
Hivi unajua kama Tanzania ya Nyerere ilikuwa ni nchi ya chama kimoja, unajua kama nchi ilifirisika kiasi mpaka mashirika na Viwanda alivyotaifisha viliuzwa?
 
Ikiwa ni hivyo imekuwaje huyo mtumbuaji aliuacha uongozi huo uendelee kuwepo ili hali unafuja madawa ?
 
Na hii ndio maana ya Prof. Assad "cash ifanyie mambo mengine" nunua madawa kopa ndege, biashara itajiendesha deni linalipwa.
Ila one man show, mipango ya ndege mwenyewe, mnunuzi mwenyewe, angekua na uwezo angekua rubani ye mwenyewe.
Yaani kilimshinda kuwa rubani tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
jaribu kujenga hoja.
 
Huu ni uzushi mwingine. Taarifa ya CAG haijawahi kuonesha MSD kuna tatizo la ubadhilifu. Hizi zilikuwa hoja za kisiasa ili wananchi wasilalamikie mapungufu ysa Serikali.
 
Yani kuheshimu mawazo huru ni muhimu ila baadhi yanachefua. Yani bora ndege ziwepo tule hasara wakati kuna watu hawana ajira hawana madawati hospital hamna dawa, alafu unataka tuwe comfortable kula hasara ya 150 billion shillings ili tu na sisi Tanzania tuwe na ndege. Jiulize ukishakuwa na ndege yenye hasara ni kwa manufaa ya nani ndugu yangu? Tz we dont have the comfort ya kula hasara kubwa hivo kisa eti inakuja sector nyengine!!! Hivi watalii watashindwa fika Tanzania km air tz hamna? Swala la busara ni kurangaza sector ya utalii kupitia balozi na ndo kazi yake na sio kuwa na mindege ambayo haina mana. Alafu kwa upimbi wenu ata hamuelewi hindi ya kuendesha mradi ya ndege, hamjui kuwa ndege ina mda wa kuruka na baada ya mda kuisha inapaki yard tu, hamjui chochote nyinyi ni timu magu na timu ukabila tu baada ya kuweka taifa mbele. Magu alikuwepo na atakuja mwengine na ataaondoka ila taifa hili litabaki na ndo tunu yeti. Kustawisha maisha ya watu ma sio kujionesha mbele ya mataifa mengine, kujimombofaiya hasara wakati mad fedha ya dawa haina lkn eti kuna jitu limepindisha sheria kwa matakwa take akanunua midege na ww kwa sababu ni kabila moja sijui unafurahi taifa kula hasara ya 150BTSH!!! I'm pretty sure you dont even know thamani ya hiyo hela unaenda na flow tu ww. Yani mawazo mengine hatana mana ndo naambiwa msome hisabu hamtaki nyie kishazi tu alafu unaongea vitu huna fact. Maria hasira yani na jerry slaa wenu mpumbavu tu, eti ndege sio kunguru kwenye context siyo eleweka! True ndege sio kunguru, lila flight inayo ruka ujue ndo life span yake inapungua kwahiyo poleni hasara 10-20 years mpaka uanze kuwa profitable alaf flight limit imefika mpaka ndege yadi tuendellee kupiga majority aje kiongozi mwengine na macao yake mambo yake yanaenda nyinyi mnapika ngenjero na filimbi, pimbu mnaishia hanna nyuma wala mbele. Leo tunaongelea tehama ila shuleni ata computer za chogo hakuna alafu tule hasara ya 150billion!!!? Yani unajua inanunua computer ngapi iyo hela kusaidia mashuleni au dawati ngapi. Yani Maria hasira aisee I wish ningekujua nikaja kukufanya ya wasiojulikana kwa ujinga unamsema huo. Alafu pengine una masters sijui apo inaitwa dr. Nani sijui. Ndo mana msukuma akasema standard 7 wapewe wao uwaziri na waaminiwe mana nyie madocta wapuuzi tu. #NUMBERS DONT LIE yani sijamaliza I wish sijui nikufanye nn ila nikuombe kwa Mungu usije zaaa watoto pimbi tu mana dah acha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…