huyu ni kiongozi na uongozi unataka umakiniMkuu wewe unakijua kiingereza vizuri? Kama ndiyo mrekebishe wewe unayekijua basi. Yaani mtu aki skip herufi au neno moja ndiyo tayari hajui kiingereza? Haya mambo ndiyo yanayo letelezea watu kufikiri kujua kiingereza ndiyo kuelimika au kuwa msomi. Mbona Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ni Dr lakini hajui kiingereza vizuri zaidi ya kisukuma. Ina maana yeye siyo miomi?!
Sent using Jamii Forums mobile app