Zitto Kabwe Mtegoni

Zitto Kabwe Mtegoni

Mkuu wewe unakijua kiingereza vizuri? Kama ndiyo mrekebishe wewe unayekijua basi. Yaani mtu aki skip herufi au neno moja ndiyo tayari hajui kiingereza? Haya mambo ndiyo yanayo letelezea watu kufikiri kujua kiingereza ndiyo kuelimika au kuwa msomi. Mbona Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ni Dr lakini hajui kiingereza vizuri zaidi ya kisukuma. Ina maana yeye siyo miomi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu ni kiongozi na uongozi unataka umakini
 
Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
"hakikisha upo msafi maeneo yote" ikiwa au wakati serikali ni chafu maeneo yote.
 
Nguruwe wa animal farm wewe.
Mungu analinda yeyote,...hata wale wanaotaka zitto achukuliwe hatua nao wanalindwa na Mungu...Zitto amefanya maovu mengi it is high time now sheria ichukue mkondo wake....Mtu unafanya maovu halafu unataka Mungu....ni sawa na jambazi anavamia benki huku akimuomba Mungu amlinde
 
Zitto anaogopa nini sasa,si alisema haogopi anajamba jamba tu
Ukitaka kupambana na serikali hakikisha upo msafi maeneo yote
Analalamikia sheria ya money laundering wakati ni yeye ndio alietunga,nakumbuka alikua anasimama kila dakika kurekebisha sentensi,koma na nukta ili hao aliowaita mafisadi wasitoke salama
Naam mchimba kaburi anaingia mwenyewe sasa
Huenda kuna nyama imemukwama kooni! Haya mambo ya kula bila kunawa lazima ubaki na harufu!
 
Shetani si wa kumpuuza
Huyu Zitto simuamini kabisa maana kachezea sana ndevu za simba lakini hakuna kilichotekea sema huyu ni kibaraka wa serikali kuonyesha haiwashughulikii wapinzani. Yale yaliyomfanya Lissu afunguliwe kesi ndiyo huyu chizi anayafanya lakini hakuna kinachotokea
 
Back
Top Bottom