Naona huyu msaliti kapata kichaa....Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
ZZK mzee wa kulamba AsaliAkitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilieAkitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Kauli hii alimtolea akiwa kwake chato; ndiyo ujue manji alichofanyiwa ndicho alicho stahili Kama ni kweli.Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie
Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.
Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Jifunze kishwahili ili ujue kutofautisha kati ya shingapi na kiasi gani; Kwani deni la taifa ni bidhaa mpaka uulize hivyo?!Kweli JPM kiboko, yaani alimnyoosha zitto mpaka akawa mwepesi. Utamkumbuka daima, kiboko wa wanasiasa uchwara. Hivi deni la Taifa saivi shingapi?
Chombo mpya hii, haijabadili ID, mashine mpya iko JFHuyo chawa uchwara hiyo ID wamemlazimisha Mods kubadilisha,yeye kwa akilizake alikuwa anaona sawatu.
Wana jaribu kumchafua Magu sababu Magu hakutaka urafiki wakijinga kwamba uwerafikiyake alafu ukikwepa kodi akuchekee.
Ndio maana aliwaparua mbaka untouchables.
Uvuvi tulilipa leseni nataratibu zake zote lakini alituma genge lakekuja kopora pesa kwa nguvu aliokataa kuwapa wanachotaka alichomewa kwa kisingizio ni haram mfano mungine muone sabaya pia watu had waliacha kuweka pesa benki kwa wizi aliofanya bikusahau wazazi wakulima walisomesha watoto wao nakujimaliza lakini hakutoa ajira yote haya yangeleta umaskini mkubwa sanaNaona umebadili id kutoka kinembe hadi kiembe!
Ok.. Huyo Zito wako amesema hao watu walikuwa wanafanya kazi zipi zilizokuwa zinawapa utajili kisha wakawa masikini?
Zitto aendelee kuramba asali tu hakuna mtu atamlaumu
Kwanza asante kwa taarifa hii, pili naomba kuwa Mwalimu wa kujitolea kukufundisha uandishi wa habari.Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Kwenye mainstream media reporting, opinion za mwandishi should not be the part of the story, hivyo kwa vile umem quote ZZK, msomaji ataamimi ha maneno yote ni ya ZZK, lakini huku kwenye social media, unaruhusiwa kuweka maoni yako kwa kuyatenganisha kwa neno "my take" ili msomaji ajue haya ni ya kwako.Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Nahau wakati alitaka kuimeza dar yote aimiliki yeye. Unadhani hiyo coco beach bila magu mngeiona hadi saa hii.?Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie
Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.
Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Mwenzio ameanza kuchanganyikiwa sasa. Mara anatembea na majiko ya gesi. Mara anasema waje wamuue.Zitto si mjinga tu yule. Kazi aliyopewa ni kujaribu kuharibu Legacy ya JPM.
Anahangaika kweli kweli na JPM.
Lakini ni ngumu sana kuharibu Legacy ya JPM.
Hakuna awezaye kuharibu Legacy ya JPM kabla ya yeye mwenyewe kuharibiwa.
Je, ni nani aliingiza Tanzania kwenye Uchumi wa Kati na ni nani ameishusha Tanzania kutoka kwenye Uchumi wa Kati?
Zitto katika ubora wake wa kulamba asali viz ACT - Wazendo Zanzibar. JPM rest ni peace baba!. You was African key outstanding leader and the champion of the majority progress. Your legacy will not expire through the cheap propaganda of the wanafiki like Zitto Kabwe and the rest of such kind.Upuuzi tu , tafuteni kiki zingine ila siyo JPM . JPM alikuwa extra- ordinary leader . Wewe Zitto pigania tumbo lako tu you have nothing to Tanzanians .
Mnafiki na muongo mkubwa zitto.Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Huo utafiti amefanyia wapi na watanzania tuwe making na Hawa wachumia tumbo
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.