Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.

Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Naona huyu msaliti kapata kichaa....
Pole Yuda.
 
ZZK mzee wa kulamba Asali
 
Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie

Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.

Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
 
Zitto si mjinga tu yule. Kazi aliyopewa ni kujaribu kuharibu Legacy ya JPM.
Anahangaika kweli kweli na JPM.
Lakini ni ngumu sana kuharibu Legacy ya JPM.
Hakuna awezaye kuharibu Legacy ya JPM kabla ya yeye mwenyewe kuharibiwa.
Je, ni nani aliingiza Tanzania kwenye Uchumi wa Kati na ni nani ameishusha Tanzania kutoka kwenye Uchumi wa Kati?
 
Kauli hii alimtolea akiwa kwake chato; ndiyo ujue manji alichofanyiwa ndicho alicho stahili Kama ni kweli.
 
Wale machinga na vimikopo vyao baada ya kufukuzwa Barabara bila maandalizi waulize hali zao leo.
 
Kweli JPM kiboko, yaani alimnyoosha zitto mpaka akawa mwepesi. Utamkumbuka daima, kiboko wa wanasiasa uchwara. Hivi deni la Taifa saivi shingapi?
Jifunze kishwahili ili ujue kutofautisha kati ya shingapi na kiasi gani; Kwani deni la taifa ni bidhaa mpaka uulize hivyo?!
 
Labda anamaanisha wapiga dili, vyeti feki waliotumbuliwa na wale wahujumu uchumi.

Kwa sasa wamerudi kwa kasi ya 4G.
Wananchi wa kawaida kabisa wa vijijini
 
Huyo chawa uchwara hiyo ID wamemlazimisha Mods kubadilisha,yeye kwa akilizake alikuwa anaona sawatu.

Wana jaribu kumchafua Magu sababu Magu hakutaka urafiki wakijinga kwamba uwerafikiyake alafu ukikwepa kodi akuchekee.

Ndio maana aliwaparua mbaka untouchables.
Chombo mpya hii, haijabadili ID, mashine mpya iko JF
 
Naona umebadili id kutoka kinembe hadi kiembe!

Ok.. Huyo Zito wako amesema hao watu walikuwa wanafanya kazi zipi zilizokuwa zinawapa utajili kisha wakawa masikini?

Zitto aendelee kuramba asali tu hakuna mtu atamlaumu
Uvuvi tulilipa leseni nataratibu zake zote lakini alituma genge lakekuja kopora pesa kwa nguvu aliokataa kuwapa wanachotaka alichomewa kwa kisingizio ni haram mfano mungine muone sabaya pia watu had waliacha kuweka pesa benki kwa wizi aliofanya bikusahau wazazi wakulima walisomesha watoto wao nakujimaliza lakini hakutoa ajira yote haya yangeleta umaskini mkubwa sana
 
Zito atakufa kwa kihoro cha kumfikiria Magufuli. Kwa hali ya afya yake ni afadhali angetulia akaendelea kulamba asali kwa raha zake badala ya kupambana na mzimu wa JPM (rip).
 
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Kwanza asante kwa taarifa hii, pili naomba kuwa Mwalimu wa kujitolea kukufundisha uandishi wa habari.

Ukiritipoti kitu kama habari, kama ulivyoripoti haya ZZK aliyoyasema, ulipaswa kueleza hayo ameyasema wapi na lini kama ulikuwepo, kama hukuwepo then you have to mention the source.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Kwenye mainstream media reporting, opinion za mwandishi should not be the part of the story, hivyo kwa vile umem quote ZZK, msomaji ataamimi ha maneno yote ni ya ZZK, lakini huku kwenye social media, unaruhusiwa kuweka maoni yako kwa kuyatenganisha kwa neno "my take" ili msomaji ajue haya ni ya kwako.

Mwalimu P.
 
Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie

Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.

Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Nahau wakati alitaka kuimeza dar yote aimiliki yeye. Unadhani hiyo coco beach bila magu mngeiona hadi saa hii.?

Hao wakazi wa magomeni cotaz wangeisikia tu magomeni cotaz.

Kumbuka manji alikuwa diwani wa mbagala lakini target yake ilikuwa sio udiwani bali kuwafool madiwani kwa bahasha akiwemo meya ili achukue maeneo yote prime ya dar.

Usisahau sebene la waislam miaka ile na manji baada ya manji kuwarubuni viongozi wa bakwata kisha akachukua maeneo yale prime ya waislam. Ni Magu ndio aliwarudishia na vurugu zikaisha.
 
Zitto si mjinga tu yule. Kazi aliyopewa ni kujaribu kuharibu Legacy ya JPM.
Anahangaika kweli kweli na JPM.
Lakini ni ngumu sana kuharibu Legacy ya JPM.
Hakuna awezaye kuharibu Legacy ya JPM kabla ya yeye mwenyewe kuharibiwa.
Je, ni nani aliingiza Tanzania kwenye Uchumi wa Kati na ni nani ameishusha Tanzania kutoka kwenye Uchumi wa Kati?
Mwenzio ameanza kuchanganyikiwa sasa. Mara anatembea na majiko ya gesi. Mara anasema waje wamuue.

Huko tunapoenda mzimu wa magu utaumiza watu wengi sana.
 
Upuuzi tu , tafuteni kiki zingine ila siyo JPM . JPM alikuwa extra- ordinary leader . Wewe Zitto pigania tumbo lako tu you have nothing to Tanzanians .
Zitto katika ubora wake wa kulamba asali viz ACT - Wazendo Zanzibar. JPM rest ni peace baba!. You was African key outstanding leader and the champion of the majority progress. Your legacy will not expire through the cheap propaganda of the wanafiki like Zitto Kabwe and the rest of such kind.
 
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.

Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Mnafiki na muongo mkubwa zitto.
Kiuchumi kuna kitu kinaitwa lag effect. Unapofanya jambo leo kiuchumi matokeo yake hayaonekani au hayaivi mara moja inachukua muda. Kama umaskini Ulizidi wakati wa JPM maana yake hao maskini walitokana na sera za JK ila matunda yake yakaonekana wakati wa JPM. Kama kweli JPM alikuwa na sera mbovu basi effect yake ingeonekana sasa.

Zamani Zitto alikuwa anamshambulia JPM kuwa amekopa sana lakini jiulize kwa sasa .bona hazungumzii tena mikopo? Kwa mwenendo wa sasa mikopo inayokopwa ni zaidi ya ile iliyokopwa na JPM ndio maana zitto a.emute.
 
Huo utafiti amefanyia wapi na watanzania tuwe making na Hawa wachumia tumbo

Swali mujarabu, atupatie na sisi hiyo taarifa ya utafiti. Ili tujue, nani alifanya utafiti, lini, madhumuni ya utafiti, sampuli aliyotumia na mengine mengi yanayohusika katika utafiti.

CC: chiembe tunaomba chanzo za habari yako na hiyo taarifa ya utafiti inayotaja kiasi hicho cha watu kuingia kwenye UMASIKINI.
 
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.

Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.

Tunaomba chanzo cha habari ili tujue kama hayo ni maneno yake.
 
Back
Top Bottom