Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nilisahau kumbe ikulu ameshaenda MboweIkulu kwa hisani ya CCM ama?
Kwa dharau hizo za manji ilitakiwa apigwe risasi kabisa,Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie
Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.
Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Nikufundishe basi nahau !! Lile siyo tusi ni msemo tu!! Huwezi ukalila kisasi kwa kumfilisi mtu sabanu ya msemo tu. Huo ni UHAYAWANI tu. Angalia wakulima wa mbaazi na ufuta walivyoathirika baada ya mnunuzi mkubwa kuwa harassed na Magufuli.Kauli hii alimtolea akiwa kwake chato; ndiyo ujue manji alichofanyiwa ndicho alicho stahili Kama ni kweli.
Magufuli alikuwa anawa fool wajinga tu kama nyie. Hakuna Manji aluchokuwa anachukua. Utachukuaje Cocobeaach ? Kwa Sheria ipi ya Ardhi na mazingira ambayo ingemmilikisha? Yale ni maeneo ambayo ni mali ya Serikali ila Yusuf Manji alikuwa anakodi kuyaendesha kwa mfumo wa PPP na kuboresha kuondokana na utitiri wa maturubai na vibanda. Of course ange charge feeNahau wakati alitaka kuimeza dar yote aimiliki yeye. Unadhani hiyo coco beach bila magu mngeiona hadi saa hii.?
Hao wakazi wa magomeni cotaz wangeisikia tu magomeni cotaz.
Kumbuka manji alikuwa diwani wa mbagala lakini target yake ilikuwa sio udiwani bali kuwafool madiwani kwa bahasha akiwemo meya ili achukue maeneo yote prime ya dar.
Usisahau sebene la waislam miaka ile na manji baada ya manji kuwarubuni viongozi wa bakwata kisha akachukua maeneo yale prime ya waislam. Ni Magu ndio aliwarudishia na vurugu zikaisha.
Wewe Crimea unayegeuzwa nyuma kwani unajisikiaje?Kwa dharau hizo za manji ilitakiwa apigwe risasi kabisa,
Nyie waramba viatu hata mkiambiwa mgeuzwe kwa nyuma na kina manji mnakubali kisa aliajili vibarua 3000 wa kulipwa ujira wa sh elfu 3000 kwa siku
Wanamuonea baba wa watu, kuna vingi sana vizuri alifanya, sanaa, na hakuna kiongozi aliemkaribia, ila kuna vichache ambavyo mnavitumia kumchafua
Haichekeshi.Basi nilisahau kumbe ikulu ameshaenda Mbowe
Takwimu hazidanganyi 👇Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Mburura watakwambia Nchi iliingia uchumi wa kati 😆😆😆😆..Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.
Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.
Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Uongozi ni nini?Mko kupambana na marehemu na bado anawagaragaza tu!!
Apumzike kwa Amani, katufanya tujue maana ya uongozi ni nini!!
Kwa sasa tuendeleeni kuramba asali huku tukipiga mapambio " Mama ana upiga mwingi"[emoji3525]
Aliharibu sana hii Nchi na kuturudisha Misri kiasi kwamba saizi tunahangaika kujirudishia tulikokuwa 👇Upuuzi tu , tafuteni kiki zingine ila siyo JPM . JPM alikuwa extra- ordinary leader . Wewe Zitto pigania tumbo lako tu you have nothing to Tanzanians .
Hata ungenitolea mimi hio kauli chafu ningekulambisha udongo. Unaongeaje utumbo kwa mzawa wakati wewe foreingner tuMfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie
Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.
Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Sasa unategemea nini kwa wanao pambana na marehemu wanamtegemea huyu eti ndiye kamanda waoMko kupambana na marehemu na bado anawagaragaza tu!!
Apumzike kwa Amani, katufanya tujue maana ya uongozi ni nini!!
Kwa sasa tuendeleeni kuramba asali huku tukipiga mapambio " Mama ana upiga mwingi"[emoji3525]
Kweli Magufuli alikuwa noma, hadi leo mnapambana naye lakini bado anachukua pointi tatu muhimu na goli tatu. Hizo takwimu za Zitto ni za kitapeli, Mwamba Magufuli ndo aliwaongezea watu kipato waliokuwa hawana pesa kwa kurahisisha maisha labda aseme mafisadi ndo kipato kilipunga maana hapakuwa na ile mianya waliyoizoea ya kula kwa urefu wa kamba zao jambo ambalo Royal Tour keshalihalalisha.Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.