Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

Mpaka sasa hivi ubao wa matokeo unaonyesha marehemu yupo mbele magoli 3 dhidi ya wapinzani wake
 
Wanamuonea baba wa watu, kuna vingi sana vizuri alifanya, sanaa, na hakuna kiongozi aliemkaribia, ila kuna vichache ambavyo mnavitumia kumchafua
 
Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie

Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.

Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Kwa dharau hizo za manji ilitakiwa apigwe risasi kabisa,

Nyie waramba viatu hata mkiambiwa mgeuzwe kwa nyuma na kina manji mnakubali kisa aliajili vibarua 3000 wa kulipwa ujira wa sh elfu 3000 kwa siku
 
Kauli hii alimtolea akiwa kwake chato; ndiyo ujue manji alichofanyiwa ndicho alicho stahili Kama ni kweli.
Nikufundishe basi nahau !! Lile siyo tusi ni msemo tu!! Huwezi ukalila kisasi kwa kumfilisi mtu sabanu ya msemo tu. Huo ni UHAYAWANI tu. Angalia wakulima wa mbaazi na ufuta walivyoathirika baada ya mnunuzi mkubwa kuwa harassed na Magufuli.

Kama una unga mkono nawe Nnangale ni mpumbavu kama Magufuli
 
Nahau wakati alitaka kuimeza dar yote aimiliki yeye. Unadhani hiyo coco beach bila magu mngeiona hadi saa hii.?

Hao wakazi wa magomeni cotaz wangeisikia tu magomeni cotaz.

Kumbuka manji alikuwa diwani wa mbagala lakini target yake ilikuwa sio udiwani bali kuwafool madiwani kwa bahasha akiwemo meya ili achukue maeneo yote prime ya dar.

Usisahau sebene la waislam miaka ile na manji baada ya manji kuwarubuni viongozi wa bakwata kisha akachukua maeneo yale prime ya waislam. Ni Magu ndio aliwarudishia na vurugu zikaisha.
Magufuli alikuwa anawa fool wajinga tu kama nyie. Hakuna Manji aluchokuwa anachukua. Utachukuaje Cocobeaach ? Kwa Sheria ipi ya Ardhi na mazingira ambayo ingemmilikisha? Yale ni maeneo ambayo ni mali ya Serikali ila Yusuf Manji alikuwa anakodi kuyaendesha kwa mfumo wa PPP na kuboresha kuondokana na utitiri wa maturubai na vibanda. Of course ange charge fee
 
Kwa dharau hizo za manji ilitakiwa apigwe risasi kabisa,

Nyie waramba viatu hata mkiambiwa mgeuzwe kwa nyuma na kina manji mnakubali kisa aliajili vibarua 3000 wa kulipwa ujira wa sh elfu 3000 kwa siku
Wewe Crimea unayegeuzwa nyuma kwani unajisikiaje?
 
Hii nchi ili iendelee haiwahitaji watu aina ya zzk, siasa za zitto zimejikita kwenye unafiki, ulamba miguu, na kuwasemea mafisadi wanaomuhonga.
 
Wanamuonea baba wa watu, kuna vingi sana vizuri alifanya, sanaa, na hakuna kiongozi aliemkaribia, ila kuna vichache ambavyo mnavitumia kumchafua

Wamechanganyikiwa hawajui wafanye nini! Wamebakia kuweweseka na kumshambulia mfu. Hawajiamini kufanya upigaji wao, maana muda wote wanaona JPM akiwafuatia nyuma.
 
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.

Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Takwimu hazidanganyi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220719-154710.png
    Screenshot_20220719-154710.png
    88.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220326-214754.png
    Screenshot_20220326-214754.png
    129.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-154710.png
    Screenshot_20220719-154710.png
    88.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-154644.png
    Screenshot_20220719-154644.png
    145.9 KB · Views: 3
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.

Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Mburura watakwambia Nchi iliingia uchumi wa kati 😆😆😆😆..

Ila wasichokijua ni kwamba unaweza kuwa na GDP kubwa ambayo haiondoi maskini mitaani kwa sababu sekta zinazokuza GDP zina watu wachache sana..

Mfano hayo mamiradi makubwa,madini, mawasiliano nk sekta kama hizi zinaweza kuinua GDP na ukigawa kwa watu ikaonesha kabisa mambo ni mazuri ila kwenye actual ground sasa kuna maskini wengi wa kutupwa.
 
Upuuzi tu , tafuteni kiki zingine ila siyo JPM . JPM alikuwa extra- ordinary leader . Wewe Zitto pigania tumbo lako tu you have nothing to Tanzanians .
Aliharibu sana hii Nchi na kuturudisha Misri kiasi kwamba saizi tunahangaika kujirudishia tulikokuwa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220628-202311.png
    Screenshot_20220628-202311.png
    63.7 KB · Views: 3
Waulizeni watu wa Mwendazake watuambie walikuta Maskini wangapi 2015 na Hadi 2020 waliacha Maskini wangapi ? Maana ndio njia ya kujibu hoja ya Zito ambae ameweka namba..

Tofauti na hapo hizo ni blaa blaa
 
Akiwemo yeye na wasaliti wenzie wa Upinzani sababu walikatiwa mirija ya hela.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mfano ni waliokuwa wafanyakazi wa Quality Group ya Yusuf Manji wapatao 3,000 ambao walikuwa wanalipwa mshahara. Sasa hivi watu hao ndiyo machinga na Mama ntilie

Magufuli alimsambaratisha na kumfilisi Yusuf Manji kwa KISASI tu cha kauli ya nahau ambayo Manji aliwahi kumtolea akiwa Waziri wa Ujenzi. Alimuambia "Siongei na mbwa wa mfalme bali naongea na mwenye mbwa". Mwenye mbwa wakati huo alikuwa Kikwette.

Hatutaki tena Rais kichaa kama Magufuli ambaye analeta mambo binafsi kwenye utawala wa Nchi.
Hata ungenitolea mimi hio kauli chafu ningekulambisha udongo. Unaongeaje utumbo kwa mzawa wakati wewe foreingner tu
 
Mko kupambana na marehemu na bado anawagaragaza tu!!

Apumzike kwa Amani, katufanya tujue maana ya uongozi ni nini!!

Kwa sasa tuendeleeni kuramba asali huku tukipiga mapambio " Mama ana upiga mwingi"[emoji3525]
Sasa unategemea nini kwa wanao pambana na marehemu wanamtegemea huyu eti ndiye kamanda wao
JamiiForums-95100567.jpg
 
Kwanini watoto wa magufuri wasikamatwe na wapewe kesi ya uhujumu uchumi....lazima watuambie baba yao alificha wapi pesa za umma....
 
Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha.

Hii maana yake JPM angetawala miaka 15 basi robo tatu ya watanzania wangekuwa masikini na wanyonge wa kutupwa, hivyo kumpa mtaji wa kura na kisiasa kwa kuwa alikuwa Rais wa masikini na wanyonge.

Kwa maana hiyo, alikuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa Rais wa maisha kwa kuwa angekuwa na uhakika wa kura.
Kweli Magufuli alikuwa noma, hadi leo mnapambana naye lakini bado anachukua pointi tatu muhimu na goli tatu. Hizo takwimu za Zitto ni za kitapeli, Mwamba Magufuli ndo aliwaongezea watu kipato waliokuwa hawana pesa kwa kurahisisha maisha labda aseme mafisadi ndo kipato kilipunga maana hapakuwa na ile mianya waliyoizoea ya kula kwa urefu wa kamba zao jambo ambalo Royal Tour keshalihalalisha.
 
Back
Top Bottom