Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deni aliloliacha mwendazakeKweli JPM kiboko, yaani alimnyoosha zitto mpaka akawa mwepesi. Utamkumbuka daima, kiboko wa wanasiasa uchwara. Hivi deni la Taifa saivi shingapi?
Mpango alikuwa anapika dataManeno ya kwenye magazeti hayo lakini mitaani ilionyesha jinsi nchi ilivyoporomoka kisiasa,kijamii,kiuchumi,kiutamadani na kielimu.