Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
MATAGA mnateseka sana aisee.. na bado!Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Mfuate LipumbaTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Fanya kazi upate hela wacha kutegemea wanasiasa waondoe umasikini wako. Badala ya kulaumu chama lako chakavu liko madarakani tangu 1961 wanalaumu watu ambao wako nje ya Serikali. Huo ni umasikini wa akili.Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Kamanda usiyechoka naona sasa umechoka hadi umechakaa
Kabisa.Siasa ni Biashara kama Makanisa ya kilokole
Na kifupi hao ndio virus wa maisha ya watanzania,siku wakiwajua nchi itaponaTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
We bado unawategemea wanasiasa, bado unaamini mwanasiasa au chama fulani,kitakuletea mageuziTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Yan kuna watu mafala, si uanzishe chama chako ww usiyejali tumbo lako? kheeTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Sasa upinzani ukiwa legelege au wakipoteza dira c ndio afadhal kwenu nyie CCM?Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Usijitoe ufahamuSasa upinzani ukiwa legelege au wakipoteza dira c ndio afadhal kwenu nyie CCM?
Mtachukia tukisema kweliYan kuna watu mafala, si uanzishe chama chako ww usiyejali tumbo lako? khee
Huo ndio ukwel hujawah kua CDM wewe ni uvccm!! Na humu wote wanakujua!!! Unajichoresha raia wanakudere tu 🤣🤣🤣🤣Usijitoe ufahamu
Kuajiriwa siyo lazima Na kuajiriwa hakukufanyi uonekane mtu wa maana badala yake ni dalili tosha kuwa huna uwezo wa kujiajiri. Zito kajiajiri kupitia siasa.Huyo Nyepesi ni kati ya watu wa hovyo kuwahi tokea nchini.
Just imagine toka amalize chuo hajawahi kufanya kazi popote zaidi ya kupiga domo tu.
Wewe ni mmoja wapo wa wajinga katika kundi lake hivyo nakupuuza.Kuajiriwa siyo lazima Na kuajiriwa hakukufanyi uonekane mtu wa maana badala yake ni dalili tosha kuwa huna uwezo wa kujiajiri. Zito kajiajiri kupitia siasa.