Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.

Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.

Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?

Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
 
MATAGA mnateseka sana aisee.. na bado!
 
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.

Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.

Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?

Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Mfuate Lipumba
 
Fanya kazi upate hela wacha kutegemea wanasiasa waondoe umasikini wako. Badala ya kulaumu chama lako chakavu liko madarakani tangu 1961 wanalaumu watu ambao wako nje ya Serikali. Huo ni umasikini wa akili.
 
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.

Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.

Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?

Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Na kifupi hao ndio virus wa maisha ya watanzania,siku wakiwajua nchi itapona
 
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.

Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.

Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?

Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
We bado unawategemea wanasiasa, bado unaamini mwanasiasa au chama fulani,kitakuletea mageuzi

Ova
 
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.

Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.

Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?

Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Yan kuna watu mafala, si uanzishe chama chako ww usiyejali tumbo lako? khee
 
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.

Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.

Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?

Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Sasa upinzani ukiwa legelege au wakipoteza dira c ndio afadhal kwenu nyie CCM?
 
Huyo Nyepesi ni kati ya watu wa hovyo kuwahi tokea nchini.

Just imagine toka amalize chuo hajawahi kufanya kazi popote zaidi ya kupiga domo tu.
Kuajiriwa siyo lazima Na kuajiriwa hakukufanyi uonekane mtu wa maana badala yake ni dalili tosha kuwa huna uwezo wa kujiajiri. Zito kajiajiri kupitia siasa.
 
Wewe ni mmoja wapo wa wajinga katika kundi lake hivyo nakupuuza.
 
Back
Top Bottom