Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.