Zitto Kabwe na Mbowe wanaharibu maisha ya watanzania kwa kutanguliza matumbo yao na kufanya siasa za kihuni

Huu ndio ukweli
Maridhiano is a scam
Yote yanatokea wapo kimya loliondo ni mfano mmoja gharama za maisha rushwa(hili ni msumari hata kwao)

Wakifika Ikulu ndio wanakuja na stori
Upinzani ni game nyingine kama gambling… wapinzani are not serious…
 
Mmechukia mno nyie sukuma gang kwa maridhiano aliyoleta mheshimiwa Mbowe Tanzania.
 
Kwani wewe ukiyarekebisha maisha ya Watz Kuna shida gani Hadi uwalaumu wao?
 
Wewe unda chama chako ufanye iwezavyo ulitaka mboe afanyeje analaumu tu bila kutoa mwongozo
 
Uhuni unafanywa na chama chako dola ambacho kinakufanya uwe masikini hadi wa kuchangia hoja,usitegemee watu wakupiganie wakati wewe umefyatq mkia katikati ya miguu yako
 
CCM pekee mmeshindwa kuondoa tozo,kodi na gharama za maisha,mpaka msaidiwe na wapinzani?.
 
Mwana Chadema anamlaumu Zitto Kabwe....as if Zitto ndo kiongozi wa Chadema
 
Maridhiano utafikiri kulikua na ugomvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…