Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.Huyo Nyepesi ni kati ya watu wa hovyo kuwahi tokea nchini.
Just imagine toka amalize chuo hajawahi kufanya kazi popote zaidi ya kupiga domo tu.
Makamanda wenzako huwa ni wabishi sana.Mtachukia tukisema kweli
Hawapendi ukweli.Makamanda wenzako huwa ni wabishi sana.
Basi endelea kuwa mtumishi/mtumwaWewe ni mmoja wapo wa wajinga katika kundi lake hivyo nakupuuza.
Hapa mataga wanahusika vipi?MATAGA mnateseka sana aisee.. na bado!
Huu ndio ukweliTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Mmechukia mno nyie sukuma gang kwa maridhiano aliyoleta mheshimiwa Mbowe Tanzania.Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Wewe ni mpumbavuMmechukia mno nyie sukuma gang kwa maridhiano aliyoleta mheshimiwa Mbowe Tanzania.
Kwani wewe ukiyarekebisha maisha ya Watz Kuna shida gani Hadi uwalaumu wao?Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Mbowe anaongoza nchi hii kuelekea kwenye demokrasia ya kweli.Wewe ni mpumbavu
Kaa kimya kama huna hojaKwani wewe ukiyarekebisha maisha ya Watz Kuna shida gani Hadi uwalaumu wao?
Wewe unda chama chako ufanye iwezavyo ulitaka mboe afanyeje analaumu tu bila kutoa mwongozoTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Uhuni unafanywa na chama chako dola ambacho kinakufanya uwe masikini hadi wa kuchangia hoja,usitegemee watu wakupiganie wakati wewe umefyatq mkia katikati ya miguu yakoTaifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Wewe unayo?Kaa kimya kama huna hoja
Kwahiyo ulitaka maridhiano yakuletee chakula nyumbani kwako???Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
CCM pekee mmeshindwa kuondoa tozo,kodi na gharama za maisha,mpaka msaidiwe na wapinzani?.Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.
Upinzani madhubuti utairekebisha serikali inayotawala pale inapokosea na kukandamiza wanaotawaliwa.
Eti maridhiano! Maridhiano wakati wananchi wanaishi maisha magumu?
Tozo,kodi na gharama za maisha juu. Ni tatizo linalolibali taifa. Sio maridhiano uchwara.
Unauelewa mdogo sana.Mwana Chadema anamlaumu Zitto Kabwe....as if Zitto ndo kiongozi wa Chadema
Maridhiano utafikiri kulikua na ugomvi.Taifa lolote ili liweze kuendelea lazima liwe na upinzani madhubuti.