Tizama nd
Tizama ndugu yangu ukitaka kulinganisha kipindi cha JK na JPM kuhusu ajira kwa kuangalia unemployment rate utahitaji pia kuangalia population utahitaji kuangalia number of graduates utatakiwa pia kuangalia labour market , utatakiwa kuangalia investments, inflation na employment opportunities. Angalia mfano mimi nilipomaliza sekondari 1969 kabla ya kumaliza tuliletewa fomu za kuchagua kazi nafasi sita yaani upo shule unategemea kuhitimu unaletewa nafasi za kazi sasa unataka kuniambia Mwinyi, Mkapa na Jk wote ni bure kwa nini hawakuendelea na mtindo huo. Acheni chuki binafsi kwa JPM unemployment ipo duniani kote. Kinacotakiwa vijana wasome sana hasa masomo ya sayansi ili tukianza kuchimba mafuta tuwe na wataalamu wa kutosha na pia tukijenga vinu vya nyuklia vitatoa ajira nyingi sana