Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe ndiye atakayesababisha CCM waingie Ikulu kiulaini 2020

Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear.

Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi, wakulima wa mazao mbalimbali wamepitia kipindi kigumu.

Hata wananchi wa kawaida nao wamekuwa wakiushangilia utawala wa Mh. Magufuli kwa mihemko tu lakini hali zao zimekuwa ngumu.

Karibu kila ukoo au familia wameshuhudia ndugu au watoto wao wakiishia kuwa jobless baada ya kukosa ajira.

Classmates wangu wa advance ambao karibu 98 % walihitimu shahada ya kwanza 2016 na 2017 wengi hawako ktk ajira rasmi. Wanasubiri miujiza.

Uchaguzi mkuu wa October 25 ,2020 ndio ulikuwa wa kumnyima kura za ndio Mheshimiwa Magufuli na kumpa Mh.Tundu Lissu au mpinzani yeyote aliye thabiti.

Sasa Mh. Zitto Kabwe anapotaka kutuletea huyu Mh. Membe anakwenda kuzigawa kura za upinzani na kuifanya CCM iendelee kututawala bila ridhaa yetu.

Membe (mgeni) karibu upinzani ila nafasi ya kugombea Urais hustahili kwasasa, labda miaka 5 ijayo.

Hatutaki ya Lowasa, si kwamba una uchungu sana na Watanzania bali unauchungu na ndoto zako za kuwa Rais ambazo zilizimwa na wamafia kule Dodoma 2015.
Kuna brother mmoja ni senior officer TISS aliwahi kuniuliza swali moja wakati tunajadili jambo fulani. Aliniuliza " Hivi kwanini Lowasa katika kipindi chote alichokuwa upinzani hakuwahi kutoa siri yoyote ya serikali?".
Hili swali ni fupi na jepesi ila lina majibu mengi kwa ndani.
Tusiwaamini hawa half cast wa kisiasa kwa 100%.
Mwache Zitto na chama chake mkuu, wewe baki CCM
 
Magu hazuiliki term hii. Ni sawa na kuzuia Moto kwa Rambo!
 
Hilo lisikupe hofu membe ataikata ccm wachache grade ll lisu atachukua wachache grade l then changanya na wanachama kila mtu na wa kwake hesabu rahisi hiyo
 
Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear.

Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi, wakulima wa mazao mbalimbali wamepitia kipindi kigumu.

Hata wananchi wa kawaida nao wamekuwa wakiushangilia utawala wa Mh. Magufuli kwa mihemko tu lakini hali zao zimekuwa ngumu.

Karibu kila ukoo au familia wameshuhudia ndugu au watoto wao wakiishia kuwa jobless baada ya kukosa ajira.

Classmates wangu wa advance ambao karibu 98 % walihitimu shahada ya kwanza 2016 na 2017 wengi hawako ktk ajira rasmi. Wanasubiri miujiza.

Uchaguzi mkuu wa October 25 ,2020 ndio ulikuwa wa kumnyima kura za ndio Mheshimiwa Magufuli na kumpa Mh.Tundu Lissu au mpinzani yeyote aliye thabiti.

Sasa Mh. Zitto Kabwe anapotaka kutuletea huyu Mh. Membe anakwenda kuzigawa kura za upinzani na kuifanya CCM iendelee kututawala bila ridhaa yetu.

Membe (mgeni) karibu upinzani ila nafasi ya kugombea Urais hustahili kwasasa, labda miaka 5 ijayo.

Hatutaki ya Lowasa, si kwamba una uchungu sana na Watanzania bali unauchungu na ndoto zako za kuwa Rais ambazo zilizimwa na wamafia kule Dodoma 2015.
Kuna brother mmoja ni senior officer TISS aliwahi kuniuliza swali moja wakati tunajadili jambo fulani. Aliniuliza " Hivi kwanini Lowasa katika kipindi chote alichokuwa upinzani hakuwahi kutoa siri yoyote ya serikali?".
Hili swali ni fupi na jepesi ila lina majibu mengi kwa ndani.
Tusiwaamini hawa half cast wa kisiasa kwa 100%.
Tundu Lissu awe raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania? Unaota ndoto za saa7 mchana.

Tundu huyu huyu anaesema kupitia upya mikaba ya madini tutashitakiwa na taifa kufilisiwa!!

Tundu huyu huyu anaesema Raisi kuzuia makinikia pale bandarini, makinikia yaliyoshehemu aina rukuki za madini tofauti na mkataba ulivyo, kwamba tutashitakiwa na kufilisiwa!!

Tundu huyu huyu anaepita mataifa mbali mbali ya mabeneru akiisema kwa kila jambo baya Tanzania yetu!!

BIG NO KWA HUYO MSALITI
 
Ashaanza kuwataka CHADEMA waungane ili wamsimamishe mgombea mmoja.
At the same time amesema amekubali kugombea Urais kama alivyoombwa.
Swali : je ,atakubali kuungana na CHADEMA halafu yeye awe campaign manager wa mgombea wa chama kingine?.
Mtanielewa tu kwenye huu Uzi namaanisha nini hata kwa kuchelewa
 
Daby course za afya na elimu hazikuwahi kukosa ajira. Wakati ule vijana hawakupenda tu kupangiwa vituo vya kazi vijijini. Tangu 2015 Magufuli aingie madarakani hakuna ajira za afya wala walimu zimetoka.
Sisi tulioajiriwa wakati huu na serikali tucomment wapi
 
Always tunapenda kujenga Mahekalu mbinguni.

Chadema ndicho chama kinachowarudisha nyuma wapinzani.

Kwa sasa chadema hakina mvuto, karata yao ni moja tuu, ni LISSU na viongozi hawamtaki, na pia Serekali yetu ya CCM imeshamtengenezea mizingwe ya kisheria na ki katiba hatoweza kugombea. Kama walikuwa wanamtaka apeperushe bendera yao wangemweka yeye mgombea na mtu mwengine mgombea mwenza, ili hata akikataliwa yeye, mwenza anaendeleza mbio.

Lilobaki ni Chadema kuungana na wenzao na kumuunga mkono mgombea wa ACT na ambaye lazima awe Zitto.

Hapo ndipo wanaWeza tutingisha.
 
Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear.

Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi, wakulima wa mazao mbalimbali wamepitia kipindi kigumu.

Hata wananchi wa kawaida nao wamekuwa wakiushangilia utawala wa Mh. Magufuli kwa mihemko tu lakini hali zao zimekuwa ngumu.

Karibu kila ukoo au familia wameshuhudia ndugu au watoto wao wakiishia kuwa jobless baada ya kukosa ajira.

Classmates wangu wa advance ambao karibu 98 % walihitimu shahada ya kwanza 2016 na 2017 wengi hawako ktk ajira rasmi. Wanasubiri miujiza.

Uchaguzi mkuu wa October 25 ,2020 ndio ulikuwa wa kumnyima kura za ndio Mheshimiwa Magufuli na kumpa Mh.Tundu Lissu au mpinzani yeyote aliye thabiti.

Sasa Mh. Zitto Kabwe anapotaka kutuletea huyu Mh. Membe anakwenda kuzigawa kura za upinzani na kuifanya CCM iendelee kututawala bila ridhaa yetu.

Membe (mgeni) karibu upinzani ila nafasi ya kugombea Urais hustahili kwasasa, labda miaka 5 ijayo.

Hatutaki ya Lowasa, si kwamba una uchungu sana na Watanzania bali unauchungu na ndoto zako za kuwa Rais ambazo zilizimwa na wamafia kule Dodoma 2015.
Kuna brother mmoja ni senior officer TISS aliwahi kuniuliza swali moja wakati tunajadili jambo fulani. Aliniuliza " Hivi kwanini Lowasa katika kipindi chote alichokuwa upinzani hakuwahi kutoa siri yoyote ya serikali?".
Hili swali ni fupi na jepesi ila lina majibu mengi kwa ndani.
Tusiwaamini hawa half cast wa kisiasa kwa 100%.
Kwani kwa mujibu wa katiba ni kosa mtu kuwa na uchungu na ndoto zake?
 
Zito kawa dalali wa siasa anajidai Mendez wa Madrid!! Chama kitapanda chapu kisha kitaanguka kwaspidi kali sana baada ya uchaguzi huu wa october!!
Member hawezi tikisa kama Lowassa japo binafsi naona Membe anavigezo vingi vya raisi bora japo kiutendaji magu anamfunika
 
Serikali ya magufuli imefeli vibaya sana katika suala la kutengeneza ajira za vijana. Kila siku graduates wanaingia mtaa, sahv hata wale wa kada za Afya unakuta wanauza chapati na miwa mtaani.
 
Bila tume huru ya uchaguzi na katiba ya mwananchi TUTAJILISHA UPEPO TU KUJIAMINISHA KWAMBA FULANI AU FULANI NDIO SABABU YA CCM KUINGIA IKULU.
JE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA NI NANI ALIYESABABISHA CCM IZOE KURA ZOTE?
 
Nampenda zitto kabwe na hakuna mtu anayejitambua kama yeye ipo siku atawin tu kila jambo linawakati wake .
Tundu Lissu ataendelea kuwa kama raila odinga tu mpaka ipo siku atajiapisha mwenyewe kwa uchu wa madaraka.

Sifa 5 za Mh. Zitto Kabwe.
1.Anajitambua
2. Anajiamini na haogopi kitu.
3.Anatetea wanyonge
4.Anajirisk sana na ushaidi upo.
5.Ana mke Bomba sijui ni kabila gani.
 
Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear.

Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi, wakulima wa mazao mbalimbali wamepitia kipindi kigumu.

Hata wananchi wa kawaida nao wamekuwa wakiushangilia utawala wa Mh. Magufuli kwa mihemko tu lakini hali zao zimekuwa ngumu.

Karibu kila ukoo au familia wameshuhudia ndugu au watoto wao wakiishia kuwa jobless baada ya kukosa ajira.

Classmates wangu wa advance ambao karibu 98 % walihitimu shahada ya kwanza 2016 na 2017 wengi hawako ktk ajira rasmi. Wanasubiri miujiza.

Uchaguzi mkuu wa October 25 ,2020 ndio ulikuwa wa kumnyima kura za ndio Mheshimiwa Magufuli na kumpa Mh.Tundu Lissu au mpinzani yeyote aliye thabiti.

Sasa Mh. Zitto Kabwe anapotaka kutuletea huyu Mh. Membe anakwenda kuzigawa kura za upinzani na kuifanya CCM iendelee kututawala bila ridhaa yetu.

Membe (mgeni) karibu upinzani ila nafasi ya kugombea Urais hustahili kwasasa, labda miaka 5 ijayo.

Hatutaki ya Lowasa, si kwamba una uchungu sana na Watanzania bali unauchungu na ndoto zako za kuwa Rais ambazo zilizimwa na wamafia kule Dodoma 2015.
Kuna brother mmoja ni senior officer TISS aliwahi kuniuliza swali moja wakati tunajadili jambo fulani. Aliniuliza " Hivi kwanini Lowasa katika kipindi chote alichokuwa upinzani hakuwahi kutoa siri yoyote ya serikali?".
Hili swali ni fupi na jepesi ila lina majibu mengi kwa ndani.
Tusiwaamini hawa half cast wa kisiasa kwa 100%.
Mwambie senior officer wa TISS, lowassa hakutoa siri za serikali kwenye kadamnasi sababu aliapa kuzilinda. Muulize maalim seif kashawahi kutoa siri za serikali? Masha je ??
 
Zitto mlimfukuza, kaanzisha chama chake na ana ambitions zake. Aache kufuata ndoto zake kisa nyie ambao mlimfukuza kama takataka. Kila mtu apambane na hali yake bwashee
Na hapo ndio ule usemi wa malipo ni hapa hapa duniani unakujaga!
 
Mimi si mwandishi mzuri,ni mvivu kuandika mambo kwa undani. Nitaandika short & clear.

Ndani ya miaka 5 ya uongozi wa Mh. Magufuli Watanzania kama wafanyabiashara, watumishi wa umma na watumishi wa sekta binafsi, wakulima wa mazao mbalimbali wamepitia kipindi kigumu.

Hata wananchi wa kawaida nao wamekuwa wakiushangilia utawala wa Mh. Magufuli kwa mihemko tu lakini hali zao zimekuwa ngumu.

Karibu kila ukoo au familia wameshuhudia ndugu au watoto wao wakiishia kuwa jobless baada ya kukosa ajira.

Classmates wangu wa advance ambao karibu 98 % walihitimu shahada ya kwanza 2016 na 2017 wengi hawako ktk ajira rasmi. Wanasubiri miujiza.

Uchaguzi mkuu wa October 25 ,2020 ndio ulikuwa wa kumnyima kura za ndio Mheshimiwa Magufuli na kumpa Mh.Tundu Lissu au mpinzani yeyote aliye thabiti.

Sasa Mh. Zitto Kabwe anapotaka kutuletea huyu Mh. Membe anakwenda kuzigawa kura za upinzani na kuifanya CCM iendelee kututawala bila ridhaa yetu.

Membe (mgeni) karibu upinzani ila nafasi ya kugombea Urais hustahili kwasasa, labda miaka 5 ijayo.

Hatutaki ya Lowasa, si kwamba una uchungu sana na Watanzania bali unauchungu na ndoto zako za kuwa Rais ambazo zilizimwa na wamafia kule Dodoma 2015.
Kuna brother mmoja ni senior officer TISS aliwahi kuniuliza swali moja wakati tunajadili jambo fulani. Aliniuliza " Hivi kwanini Lowasa katika kipindi chote alichokuwa upinzani hakuwahi kutoa siri yoyote ya serikali?".
Hili swali ni fupi na jepesi ila lina majibu mengi kwa ndani.
Tusiwaamini hawa half cast wa kisiasa kwa 100%.

hata tukikupa nchi wewe apo lazima kuna watu watalia hawana ajira na lazima kuna watu watapitia magumu kupitia uongozi wako, na hata tukikupa pesa zote duniani mf. USA watu walio jobless kupitia tu swala la corona ni zaidi ya 10M walikua kwenye ajira rasmi na wakafukuzwa sasa tengenezeni sera nzuri
 
Adui yako mpoteze, before CCM walijua adui yao ni CDM tu. Ila sasa hawajui wamvunje miguu nani kati ya CDM ama ICT.

Usijali ukombozi ushafika, ukomo ya CCM tayari.

Na dalili ya kwanza kujua CCM imegota ni wao kujaza wajinga wengi kugombea ubunge.

kuna mda na nyie mnastahili kuwekwa makofi aisee, hili swala la kuita mtu mjinga linakera, mm siipendi cdm lakini siwezi mwita mtu mjinga! kila mtu unamjibu na hoja then mambo mengine yanaendelea swala la kuita mtu mjinga sjui watanzania wajinga ni vitu vinavokera sana na haviwafikishi kokote, mbna vyama vingine hawana huu uchizi wa kutukana wananchi wanafanya siasa zao safi tu na mambo yanaendelea, mfano ACT , NCCR wao wako bussy kujenga vyama vyao kila sku wanakuja na mbinu mpya sasa nyie mnakwama wap mpaka mnaanza kutukana watu! jirekebishen kwa kwel
 
Back
Top Bottom