Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Siri za serikali ni zipi ?Mwambie senior officer wa TISS, lowassa hakutoa siri za serikali kwenye kadamnasi sababu aliapa kuzilinda. Muulize maalim seif kashawahi kutoa siri za serikali? Masha je ??
Watu mna illusions na vitu hata visivyokuwepo