Hata mkiungana kipigo kiko palepale tu wala si mambo ya probability hiyo ni actuality.
Hivi huwa mpo Tanzania hii hii kweli au ni diaspora mnaoisoma Tz kupitia Jf na Instagram pekee.
Tizama ndugu yangu ukitaka kulinganisha kipindi cha JK na JPM kuhusu ajira kwa kuangalia unemployment rate utahitaji pia kuangalia population utahitaji kuangalia number of graduates utatakiwa pia kuangalia labour market , utatakiwa kuangalia investments, inflation na employment opportunities. Angalia mfano mimi nilipomaliza sekondari 1969 kabla ya kumaliza tuliletewa fomu za kuchagua kazi nafasi sita yaani upo shule unategemea kuhitimu unaletewa nafasi za kazi sasa unataka kuniambia Mwinyi, Mkapa na Jk wote ni bure kwa nini hawakuendelea na mtindo huo. Acheni chuki binafsi kwa JPM unemployment ipo duniani kote. Kinacotakiwa vijana wasome sana hasa masomo ya sayansi ili tukianza kuchimba mafuta tuwe na wataalamu wa kutosha na pia tukijenga vinu vya nyuklia vitatoa ajira nyingi sanaKwahiyo unemployment rate ina uwiano sawia kati ya kipindi cha Jk na jpm?
Walimwita msaliti, sasa hivi wanamlaumu tena!Zitto mlimfukuza, kaanzisha chama chake na ana ambitions zake. Aache kufuata ndoto zake kisa nyie ambao mlimfukuza kama takataka. Kila mtu apambane na hali yake bwashee
Nyie si ndiye mliokuwa mnapiga promo watu wasomee mambo ya gas & petroleum. Na udhamini mkautoa leo hii wengi wao wapo tu baada ya kutoka China!!Tizama nd
Tizama ndugu yangu ukitaka kulinganisha kipindi cha JK na JPM kuhusu ajira kwa kuangalia unemployment rate utahitaji pia kuangalia population utahitaji kuangalia number of graduates utatakiwa pia kuangalia labour market , utatakiwa kuangalia investments, inflation na employment opportunities. Angalia mfano mimi nilipomaliza sekondari 1969 kabla ya kumaliza tuliletewa fomu za kuchagua kazi nafasi sita yaani upo shule unategemea kuhitimu unaletewa nafasi za kazi sasa unataka kuniambia Mwinyi, Mkapa na Jk wote ni bure kwa nini hawakuendelea na mtindo huo. Acheni chuki binafsi kwa JPM unemployment ipo duniani kote. Kinacotakiwa vijana wasome sana hasa masomo ya sayansi ili tukianza kuchimba mafuta tuwe na wataalamu wa kutosha na pia tukijenga vinu vya nyuklia vitatoa ajira nyingi sana
Hapa kidogo nimekuelewazitto anakuza chama chake anajua hawezi kupambana na maguffuli hivyo 2025 atagombea urais
Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
Ahahahaaa.Rudisheni kwanza hela za Lowasa.
Au mnatikisa kibiriti mkidhani Membe ana pesa za kuwapa kama Lowasa?
Membe kaja upinzani na Moyo hakuja na Noti.
Mnataka kumuwekea jiwe goti shingoniJiwe katikati ya lissu na Membe hachomoki namwona akiambulia nafasi ya tatu, usukani ukinyongwa na lissu baba lao!
Mimi naomba majibu, hivi hiyo avatar umeitoa wapi?Wakuuu wenye jamvi mm naomba kuuliza ivi hii mambo ya tume huru ya uchaguzi zilianza lini harakat zake
EheheheeeMnataka kumuwekea jiwe goti shingoni
Unataka kila mtu aseme ni ccm ccm tu inashinda?Siasa za mitandao zinawasumbua hawa malimbukeni.
Tizama nd
Tizama ndugu yangu ukitaka kulinganisha kipindi cha JK na JPM kuhusu ajira kwa kuangalia unemployment rate utahitaji pia kuangalia population utahitaji kuangalia number of graduates utatakiwa pia kuangalia labour market , utatakiwa kuangalia investments, inflation na employment opportunities. Angalia mfano mimi nilipomaliza sekondari 1969 kabla ya kumaliza tuliletewa fomu za kuchagua kazi nafasi sita yaani upo shule unategemea kuhitimu unaletewa nafasi za kazi sasa unataka kuniambia Mwinyi, Mkapa na Jk wote ni bure kwa nini hawakuendelea na mtindo huo. Acheni chuki binafsi kwa JPM unemployment ipo duniani kote. Kinacotakiwa vijana wasome sana hasa masomo ya sayansi ili tukianza kuchimba mafuta tuwe na wataalamu wa kutosha na pia tukijenga vinu vya nyuklia vitatoa ajira nyingi sana
Ndio nilivyosema?Unataka kila mtu aseme ni ccm ccm tu inashinda?....
Kama umemaliza shule 1969 na umetoa hoja ya namna hii basi tatizo la taifa hili ni kubwa kuliko tunavyodhani.Tizama nd
Tizama ndugu yangu ukitaka kulinganisha kipindi cha JK na JPM kuhusu ajira kwa kuangalia unemployment rate utahitaji pia kuangalia population utahitaji kuangalia number of graduates utatakiwa pia kuangalia labour market , utatakiwa kuangalia investments, inflation na employment opportunities. Angalia mfano mimi nilipomaliza sekondari 1969 kabla ya kumaliza tuliletewa fomu za kuchagua kazi nafasi sita yaani upo shule unategemea kuhitimu unaletewa nafasi za kazi sasa unataka kuniambia Mwinyi, Mkapa na Jk wote ni bure kwa nini hawakuendelea na mtindo huo. Acheni chuki binafsi kwa JPM unemployment ipo duniani kote. Kinacotakiwa vijana wasome sana hasa masomo ya sayansi ili tukianza kuchimba mafuta tuwe na wataalamu wa kutosha na pia tukijenga vinu vya nyuklia vitatoa ajira nyingi sana
Halafu kajinasibu kuwa yeye ni mzee mwanafunzi wa 1969.[emoji2][emoji2][emoji2]Vijana wasome masomo ya sayansi ili TUKIANZA KUCHIMBA MAFUTA , TUKIJENGA VINU VYA NYUKLIA ndio solution seriously [emoji27][emoji27] !!!!....