Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe ndiye atakayesababisha CCM waingie Ikulu kiulaini 2020

Jiwe katikati ya lissu na Membe hachomoki namwona akiambulia nafasi ya tatu, usukani ukinyongwa na lissu baba lao!
Membe akikubali asigombee, amsapoti Lissu, saa 3 asbh sisiemu kinageuka chama cha upinzani
 
ngoja Zitto aje na ile turufu yake ya #orodha ya majina ya vigogo walioficha fedha zao Uswizi! hahaha! Usahaulifu wa watanganyika ni mtaji wa wanasiasa dhaifu!
 
Mkuu, upo darasa la ngapi?!
 
ngoja Zitto aje na ile turufu yake ya #orodha ya majina ya vigogo walioficha fedha zao Uswizi! hahaha! Usahaulifu wa watanganyika ni mtaji wa wanasiasa dhaifu!
Kabisa kama chadema walivyomsafisa lowassa waliyetwambia ni fisadi kwa miaka 8
 

Nakuomba rekebisha ' Heading ' hapo na isomeke ' Zitto Kabwe ameshaifanikishia CCM na Rais Dkt. Magufuli Ushindi wa Kishindo ' Mkuu wangu.
 

Wewe mjinga umetafuta wa kulaumu, unaomba po mapema hivi?

Kabla ya CDM kulikuwa na NCCR na CDM hawakuwahi kuwaza kutokukua au kupaa juu kwa sababu ya NCCR

CCM ina manguvu mno kwa sasa na upinzani uko weak mno

Kweli umekosa cha kuandika na akili yako maridhawa hata kama umekulia kama chokoraa, umeona wa kulaumiwa ni zitto???

Hamjakoma kumzushia na kumlaumu huyu mtu ambaye ame prove kusimama imara nyakati ngumu kabisa hizi za upinzani??

Kuwa na huruma
 
Haya kachukue ujira wako.
Kwa taarifa yako Mimi sio mwanachama wa chama chochote bali siupendi utawala huu dhalimu wa Magufuli. Anajua kabisa hapendwi na watu wengi ukiondoa nyie wajinga na wapumbavu
 
Jiweke kwenye nafasi ya Zitto Kama nawewe unahitaji kukuza chama ungemkataa Membe?. Jambo la msingi wapinzani waangalie namna bora yakushirikiana, ingawa akigombea Membe sintomuunga mkono, mimi namuhitaji Lisu.
 
Hivi mnasoma ili muajiliwe au kupata maarifa ndio maana kuna degree za chupi na kununua kama ukitumia vizuri elimu uliyopata hautawaza kuajiliwa
 
Hii ninaiunga mkono.
Nilianza kupata mashaka na membe pale alitaka coarition ya upinzani ndipo agombee urais

Ninapata shaka sna kuanzia pale kwenye kuvuja kwa sauti ya kina kinana.
Mpaka alikojiunga.

Itakuwa ni mpango uliosukwa kwa muda mrefu ili kudhoofisha upinzani.
MUDA UTAHUKUMU
 
BROTHER MMOJA mwenye cheo juu kidogo TISS aliwahi kuniuliza swali ambalo hajataka nimjibu.
Aliniuliza hivi kwa nini Lowasa katika miaka 4 yote ndani ya upinzani hakuwahi kutoa siri hata moja ya serikali?
 
BROTHER MMOJA mwenye cheo juu kidogo TISS aliwahi kuniuliza swali ambalo hajataka nimjibu.
Aliniuliza hivi kwa nini Lowasa katika miaka 4 yote ndani ya upinzani hakuwahi kutoa siri hata moja ya serikali?
Hakuwahi kuvaa hats tshirt za chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…