Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe ndiye atakayesababisha CCM waingie Ikulu kiulaini 2020

Mwambie senior officer wa TISS, lowassa hakutoa siri za serikali kwenye kadamnasi sababu aliapa kuzilinda. Muulize maalim seif kashawahi kutoa siri za serikali? Masha je ??
Siri za serikali ni zipi ?

Watu mna illusions na vitu hata visivyokuwepo
 

Membe kupewa kugombea urais hii tushaiona ni janja janja ya ccm kupunguza kura za CDM, akimaliza kazi atarudi Kama mamluki wenzake waliorudi.
 
Siri za serikali ni zipi ?

Watu mna illusions na vitu hata visivyokuwepo
Mimi ndio nina illusions !? Illusions gani? Umesoma nilichoandika ukakihusanisha na nilicho quote? Soma, elewa kilichoandikwa. Usiruhusu mihemuko kwenye ku respond watu.
 

Wakomunist wote maendeleo ya watu sio vipaumbele vyao,Bali vitu vitakavowapa sifa hata wasipokuwepo.Wote uwekeza kwenye propaganda
 
Kwahiyo unemployment rate ina uwiano sawia kati ya kipindi cha Jk na jpm?
Ajira ni tatizo sugu duniani si Tanzania tu muwe mnatumia hata akili zenu si kuwasilia wapiga filimbi wanasiasa wa pande zote. Sasa hivi Marekani wanalalamika na unemployment. Kufuatana na chart iliyowekwa na wataalamu huko mnakowafuata unemployment yetu ipo chini zaidi ya Kenya UK na USA.

Tanzania2.02019[4]

Kenya2.62019[4]

Rwanda13.12020 (Q1)[66]
United Kingdom3.82020 (March)[13]
United States11.12020 (June)[80]

South Africa30.12020 (Q1)[72]

linganisha hapo juu hapo chini angalia list nzima

List of countries by unemployment rate - Wikipedia

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…