Zitto Kabwe: Ndoto yangu ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hata MWANDIGA hatumpi hata udiwani
 
Zitto ni kiongozi makini Sana na anafaa kwa nafasi ya urais...tatizo chadema na sukuma gang Wana chuki binafsi kama za mwenda zake...
 
Ccm wameharibu nafasi ya urais, wameifanya ionekane ni rahisi tu.
 
Reactions: Qwy
Hana kosa bali ni NDOTO na hivyo muacheni aendelee kuota tu.
 
Udini wa zitto ni upi?
Huuoni? Anakemea nini kwa sasa? Nini kinamsukuma, Motivation yake? Yote yanayofanyika sasa awamu hii ni mazuri?

Unafikiri JPM angefanya haya yanayofanyika sasa awamu ya sita angekuwa kimya, ameacha kudai katiba mpya sasa, mikutano huru nk.

Sababu ni ipi? Fungua macho.
 
Rais??

1. MKE wa AHMED MPAKANJIA

2. MKE wa DEO FILIKUNJOMBE

3. MTOTO WA BULEMBO (Mzee mwenye chuki ya wazi na MAGUFULI) HALIMA BULEMBO
 
Zitto hata akigombea na Msigwa au Sugu au Wenje bado watamshinda idadi ya Kura
 
Rais??

1. MKE wa AHMED MPAKANJIA

2. MKE wa DEO FILIKUNJOMBE

3. MTOTO WA BULEMBO (Mzee mwenye chuki ya wazi na MAGUFULI) HALIMA BULEMBO
Ukiambiwa uthibitishe pasina shaka ...utatoa uthibitisho?au ni maneno tu ya vijiweni?..
 
Jamiiforams siku hizi inashushwa hadhi na watu kama nyinyi ...hivi kama huna hoja ukipita kimya kimya Kuna shida?
Tusubishane hebu niambie ACT Kwa huku Tanganyika inaweza kushinda Jimbo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…