We mwenyewe unajua kuwa alishinda hata uchaguzi uliopita Jecha akahamisha goal, hata 2005 ilikuwa same, Wazenj wanampeda Seif na bado atagombea
Tusubir tuone lakini walau uhakika wa 80% kuwa seif atapiwa kura zinampa guts za kusema aliyosema.Nimekuelewa, sasa unataka kutwambia kuwa wale walio agiza hayo magori yahamishwe wamehamia Somalia au wamesilimu na kutubu kwa waliyo yafanya? Ccm bado ipo hivyo kama walihamisha magori lazima wataendelea na mchezo wao
In God we Trust
Mmawia;Ebu tupatie vigezo vya Maalim Seif kushinda Zanzibar, ndiyo tutaamini haya maneno yako
In God we Trust
Tusubir tuone lakini walau uhakika wa 80% kuwa seif atapiwa kura zinampa guts za kusema aliyosema.
Ila Zitto ahspakaziwa mengi jamani, alishapakaziwa kuwa alianzisha ACT akiwa anamwakilisha Lowassa ila baadae tuliona Lowassa alikoenda.
Siku Mbowe alipoenda Mwanza kwenye sherehe za Uhuru ingelikwa Zitto ndiye kaenda sijui mngesemaje, lakini Mbowe alisifiwa sana.
Sasa leo kibao kimegeuka Mbowe hajaenda Ikulu wengine wameenda basi hapo ndipo walioenda wameonekana wabaya.
Siasa za Tanzania bwana
Hadi makamanda watakoma safari hii.na bado Tundu Lisu anaenda ACT WAZALENDO
Kwani Chadema walipomchukua Lowassa ilikuwa kwa maslahi ya wananchi au walimchukua ili wapate kushinda uchaguzi washike madaraka?Hakuna aliye walaumu walio kwenda ikulu maana hiyo ndiyo ilikuwa kilio cha upinzani.
Watu walimsifia mh Mbowe kwa kuwa na ujasili wa kumuomba mh rais muafaka ambao kimsingi hilo jambo limeanza kuonekana leo.
Tunacho mlaumu ZZK ni hiyo tweet yake ambayo kwa mpinzani wa kweli na mtetezi wa wananchi haileti maana kabisa. Anaonekana yupo pale kimaslahi zaidi kuliko kuwatetea wananchi.
In God we Trust
Correct √√√√√Kwani Chadema walipomchukua Lowassa ilikuwa kwa maslahi ya wananchi au walimchukua ili wapate kushinda uchaguzi washike madaraka?
By the way lengo la chama chochote cha upinzani ni kushika madaraka
Afadhali aende ili shilingi yetu iweze kuipiku dola ya kimarekani
In God we Trust
Sawa kabisa.
Mimi huwa nashangaa utamkaji au uandishi wa vitu impossible kabisa kwa Act yake yaani ana matumaini hewa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajamvi nimekutana pahala na tweet ya Zitto Kabwe lkn baada ya kuusoma nimepatwa na mashaka makubwa juu ya huyu mtu.
Anaonekana anachopigania ni kuhakikisha anapata madaraka tu na siyo kuwa mtetezi wa wananchi kama anavyo jitanabaisha majukwaani.
Tuwe makini sana na wana siasa kama hawa. View attachment 1375687
In God we Trust
Chama gani cha upinzani uwa kinatoa matamko ambayo ni possible kwani?Mimi huwa nashangaa utamkaji au uandishi wa vitu impossible kabisa kwa Act yake yaani ana matumaini hewa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app