Unajisikiaje mtaani ukisikia waberoya anatoka na mama yako kisha ukaambiwa leo mimi ni baba yako? Uta confirm tena kwa DNA, maana huyo anaweza hata akawa hana uhakika kama ni mimi au mwingine kuwa nani.. baba yako
Mkuu Waberoya, mifano mingine siyo, ni ya udhalilishaji!. Unamaanisha nini kumuuliza Mmawia atajisikiaje akisikia Waberoya anatoka na mama yake Mmawia?!. Kisha leo ndio Mmawia akaambiwa Waberoya ndio baba yake!, Hivyo unamuuliza Mmawia kama atataka kuthibitisha kwa DNA kama ni kweli wewe Waberoya ndio baba yake au sio!. Mifano gani hii?!.
Kiafrika na Kutanzania ni polygamous societies since time immemorial, hata kama unajijua umezaliwa na mama yako, lakini kila mke wa baba yako ni mama!. Kwa wenzetu Wazungu wao ni society ya mke mmoja hivyo mwanamke mwingine yoyote wa baba ni mistress na sio mama.
Lakini tukija kwa upande wa mama, unless ulilelewa na a single mother, hivyo mwanaume yoyote anayetoka na mama yako, ni baba yako, hata kama ni ki benten, na kama mama yako hakuwahi kukuonyesha baba yako ni nani, then mwanaume yoyote atakaye kuambia ni baba yako, then ni baba yako!, huhitaji DNA kuthibitisha hilo.
Zitto Zuberi Kabwe, kwa sasa, ndiye the one and only opposition person mwenye the ability and the capabilities to challenge the political status quo iliyopo, he just needs the capacity, wala hili halihitaji any proof to see it!.
P