Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Kama unapenda mpira kumuona Messi anapigwa benchi inauma sana.
 
Dam55,

Ngoja iendelee kuwa tetesi, wenye picha zao watatoa ufafanuzi kuna ukweli % ngapi
 
Dam55,

HUWA simwelewi zito huwa adui yake haswa ni nani katika siasa za Tanzania
 
Ni njia mojawapo ya kumpata kiurahisi nae akanyee ndoo na akina seti
 
Zitto hua Ni ndumila kuwili haaminiki
 
Kwahiyo wapinzani mlipanga msisinde kwenye hayo majimbo?

..2015 nilitamani Chenge ashindwe na mgombea wa CDM.

..Chenge ana mchango wenye tija kuliko wabunge wengi vilaza wa ccm mle bungeni.

..Wakati mwingine ilikuwa afadhali Chenge aongoze kikao cha bunge kuliko Spika Ndugai.

..ila inapofika suala la wapinzani kuongeza wabunge, niko radhi Chenge asiwepo bungeni.

..Nadhani umenipata. This is not a "BINARY" thought process.
 
Nimekumbuka waliomuita Lowasa Fisadi kwa miaka 8, kisha wakaja kumpa ugombea uraisi kwa chama chao!.

Anyway, Naona Zitto anatuma meseji kwa wananchi wa Kigoma kuwa Wagombea walioletwa hawatoshi!
 
Chenge hata kama ni nguli wa wa sheria. Bado miaka zaidi ya 30 awapishe wengine..

Hasna ana nini na Zitto? Mpenzi wake? Mbona hai make sense?

Nsazugwako ni mtanzania kweli? Mbona jina la kihutu?

Mi nimeshangaa kabla uchaguzi haujafanyika anasikitika.

Nimewaza majimbo hayo kaweka wagombea wake?

Huku akiamini hawa wageshinda.

Yaani anaenda kwenye kampeni huku anaamini CCM inaenda kushinda
 
Huyu Chenge kala mpaka ameshiba ni bora apumzike sasa.
 
Dam55,

Nimeangalia hii post mara 5 kuhakiki tarehe kama za nyuma au ni current! Huyu Kabwe ni mgonjwa eeh! Anasema atamic uzoefu wa mzee Chenge wa rushwa na Ufusadi! Huyu kijana Zt wakati mwingine ananishawishi nimkubali but sometimes namwona kama kinyonga, nyoka na sometimes a human being!!
 
Zito badala ya kudili na yachama chake ana dili na chama kingine inamaana hao anaowapenda angewasaidia washinde kwa chama kingine sio chake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…