Zitto Kabwe: Nimesikitika Bunge la 12 kuwakosa watu muhimu kama Mzee Chenge

Majina ya mfukoni hakuwemo ingawa alishinda kura za maoni kwa mbali sana
Ni kweli jina la mfukoni ndilo limepita wengi hasa waliopiga pesa kawakata majina yao
 
"Tupo tayari kwa Uchaguzi. Kwa upande wa majimbo tumeona tunaokwenda kushindana nao."Nafasi ya uraisi nyie ACT mwachieni LISSU ebo..
 
Chenge amelitendea Nini taifa hili zaidi ya kuliibia dola kibao. Chenge alifanya biashara gani halali ktk ofice ya AG mpaka apate zaidi ya dola milioni ?
 
Yani Zitto aliisha waachia majimbo CCM?! Mpuuzi kabisa huyu hafai kuungana na CHADEMA.
ACT wana ndoa na ccm?!
 
Zito anawataka AC kusudi ikiwezekana wamuongezee ruzuku.
 
Ina Inamaana zito alitaka hawa washinde?
 
Zitto ni akili ya Kesho. NI ngumu mno kwa kilaza kuelewa akili ya zitto.This is a very carefully and clandestinely strategy. Lengo ni kumshawishi Chenge ajiunge na ACT WAZALENDO. Tayari Serukamba amesha jiunga na ACT.

Kwa lugha nyingine hapo Zitto anasema " Chenge if u come to ACT chama kitakakupa nafasi ya kugombea ubunge.

Panueni akili zenu basi
 
Tangu lini Zitto akawa mpinzani ?
 
Inaonekana Zitto atakuwa anawaita hao jamaa ACT.
 
Unahangaika sana, tulia, wacha kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…