Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

Kisichoeleweka ni kwamba mpinzania wa CHADEMA ni ACT au CCM.

Yani CHADEMA kuchwa kutwa kumtukana ZITTO, JE haiwezekani CHADEMA⁰P⁰

Lini msemaji wa CDM ametokea akamtukana Zito. Tenganisha CDM na mashabiki wa mitandaoni.
 
Sawa, tumekusikia kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!!!
 
Hivyo unavyo muona Zito ni asilimia 95 ya Viongozi wa upinzani wenye aina hii ya tabia ya Zito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…