Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibishani na wapuuzi
Zitto KABWE mnafiki sana ndio maana Chadema Walimfukuza
Kisichoeleweka ni kwamba mpinzania wa CHADEMA ni ACT au CCM.
Yani CHADEMA kuchwa kutwa kumtukana ZITTO, JE haiwezekani CHADEMA⁰P⁰
Pumbavu mkubwa
ACT wazalendo hawajaanza kuwa tawi la CCM hivi leo[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2058294
Nimeshakutambua u mpuuzi. Hutambui lolote la maana. Mtu kuwa rational ni kosa?Kumbe ulikuwa unabishana muda wote?!
Sawa, tumekusikia kamanda usiechoka kwa hisani ya watu wa Lumumba!!!Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa.
Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola.
My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
Nimeshakutambua u mpuuzi. Hutambui lolote la maana. Mtu kuwa rational ni kosa?
Do you think with makalio?Si ndio na mimi nasema uko rational kiccm zaidi, ama nakosea?
Kwani nani kasema msemaji wa CHADEMA amemtukana Zitto?Lini msemaji wa CDM ametokea akamtukana Zito. Tenganisha CDM na mashabiki wa mitandaoni.
Unamjibu mtu mwenye Iq ndogo sana.Kwani nani kasema msemaji wa CHADEMA amemtukana Zitto?