Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

Zitto aache hadaa zake za kishamba,lini walikaa na wanachama wao kuwauliza kama waingie SUK au la? Hata Maalim Seif alikubali kwa shingo upande kwani zitto alikuwa ameshakubaliana na watawala na yeye ndiye mwenye chama chake. Ila siku si nyingi Wapemba watamfanya kitu mbaya.
ACT Wazalendo ni Vyama viwili
 
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
 
Zitto sasa hivi anachanganyikiwa na anahitaji Msaada wa kisaikolojia wa haraka sana kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, wakati wenzake wanaungana kudai Katiba Mpya yeye alimtambua Mahera na kuendelea na Uchaguzi huku bara akawaona wenzie hawana maana,sasa kaibukia Zanzibar analialia akihitaji Msaada mpuuzeni tu, huenda anatumika kuzima sakata la Precision Air.
 
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
Sasa wewe mpumbavu Chadema inahusika nini hapa?
 
Zitto anataka kutuambia kwamba maamuzi yao kujiunga SUK yalitokana na ridhaa ya wananchi wapi? wale waliopigwa mabomu ya machozi na kuchomewa nyumba zao kule Pemba au wengine?

Kama ni hao Zitto anatudanganya, sikuwahi kuona popote wale waathirika wa uchaguzi wa 2020 kama waliwahi kulipwa fidia ya madhila waliyofanyiwa, na kama Zitto na ACT walienda SUK ili kuwasemea wale waathirika, mpaka leo walikuwa wanafanya nini kule serikalini kama waathirika wale hawakupewa stahiki zao?

Ukweli ni kwamba, ule ndio ulikuwa wakati wa Zitto na ACT wenzake kurudi kwa wananchi na kuwaambia CCM wamegoma kuwalipa fidia, hivyo wajitoe SUK au vipi, lakini sio leo kurudi kwa wananchi kisa aliyeteuliwa na Mwinyi hawamtaki, wao wanawaza uchaguzi tu ili uwape vyeo vya kula, hawa wanaonesha jinsi walivyo selfish.
Tena umoja upo Zanzibar wanaoenda kuulizwa ni Wana tunduru inaingia akilini kweli?
 
View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.

Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia mauaji ya 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”

Ni mwanachama gani huyo alisapooti wao kuingia kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa?. Wao waliingia baada ya kuona CHADEMA wamekosa wabunge , wakadhani watacapture political influence. Ndio maana wakaendelea kushiriki chaguzi ndogo baada ya 2020.
 
Zitto anataka kutuambia kwamba maamuzi yao kujiunga SUK yalitokana na ridhaa ya wananchi wapi? wale waliopigwa mabomu ya machozi na kuchomewa nyumba zao kule Pemba au wengine?

Kama ni hao Zitto anatudanganya, sikuwahi kuona popote wale waathirika wa uchaguzi wa 2020 kama waliwahi kulipwa fidia ya madhila waliyofanyiwa, na kama Zitto na ACT walienda SUK ili kuwasemea wale waathirika, mpaka leo walikuwa wanafanya nini kule serikalini kama waathirika wale hawakupewa stahiki zao?

Ukweli ni kwamba, ule ndio ulikuwa wakati wa Zitto na ACT wenzake kurudi kwa wananchi na kuwaambia CCM wamegoma kuwalipa fidia, hivyo wajitoe SUK au vipi, lakini sio leo kurudi kwa wananchi kisa aliyeteuliwa na Mwinyi hawamtaki, wao wanawaza uchaguzi tu ili uwape vyeo vya kula, hawa wanaonesha jinsi walivyo selfish.

Nadhani Ni muda Sasa CHADEMA iende ikainvest kwenye siasa za Zanzibar. Chadema misimamo yake inafahamika.
 
Fuatilieni historia ya Zitto vizuri kwani hamtajiumiza kuumiza kichwa juu yake.
Kwa ujumla Zitto hayuko mbali historia kujirudia kwa uzuri au kwa ubaya ila yy kama yy ameshajua kisiasa yuko wapi. Ndo maana anaishi hayo anayoyaishi kwani ndo njia aliyoiona itamfikisha mapema kumbe mwisho kiza

ACT waliingia chaka kwa Zitto. Atawaingiza kwenye shimo mpaka wakubali. Kwa Sasa Zanzibar ACT imebakiza wafuasi wa Maalim lakini sio wa chama.
 
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !

Out of context baadala ya kuongelea kitu kilichopitishwa wewe unaongelea kitu Cha kudhania.
 
View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.

Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia mauaji ya 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”
ACT acheni chokochoko, KAZI IENDELEE ✔️😂😂😂
 
Zitto aache hadaa zake za kishamba,lini walikaa na wanachama wao kuwauliza kama waingie SUK au la? Hata Maalim Seif alikubali kwa shingo upande kwani zitto alikuwa ameshakubaliana na watawala na yeye ndiye mwenye chama chake. Ila siku si nyingi Wapemba watamfanya kitu mbaya.
Vikao vilifanyika Pemba na Unguja kuwauliza wanachama.
 
Back
Top Bottom