Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

ACT waliingia chaka kwa Zitto. Atawaingiza kwenye shimo mpaka wakubali. Kwa Sasa Zanzibar ACT imebakiza wafuasi wa Maalim lakini sio wa chama.
Maalim Seif alifanya kitendo cha kujiua kisiasa kuingia ACT, nafikiri hakumjua Zitto ni nani katika siasa za nchi.
 
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
Kama wamewakataa COVID 19 pamoja na ruzuku unafikiri CHADEMA ni wapumbavu kama wewe?
 
Zitto anataka kutuambia kwamba maamuzi yao kujiunga SUK yalitokana na ridhaa ya wananchi wapi? wale waliopigwa mabomu ya machozi na kuchomewa nyumba zao kule Pemba au wengine?

Kama ni hao Zitto anatudanganya, sikuwahi kuona popote wale waathirika wa uchaguzi wa 2020 kama waliwahi kulipwa fidia ya madhila waliyofanyiwa, na kama Zitto na ACT walienda SUK ili kuwasemea wale waathirika, mpaka leo walikuwa wanafanya nini kule serikalini kama waathirika wale hawakupewa stahiki zao?

Ukweli ni kwamba, ule ndio ulikuwa wakati wa Zitto na ACT wenzake kurudi kwa wananchi na kuwaambia CCM wamegoma kuwalipa fidia, hivyo wajitoe SUK au vipi, lakini sio leo kurudi kwa wananchi kisa aliyeteuliwa na Mwinyi hawamtaki, wao wanawaza uchaguzi tu ili uwape vyeo vya kula, hawa wanaonesha jinsi walivyo selfish.
WANASIASA na kundi la watu wabinafsi ,wasiojali maisha,uhai na utu Wa wengine,watu wenye roho mbaya, wasiopenda kuongozwa na wengine isipokuwa kila mara wapo mbele kimaslahi
 
Ndugu Zito hiyo ndiyo maana halisi yaankushirikiana na serikali ya wauaji.
Sasa ulitaka ushirikiano na Chama Gani zaidi ya CCM inayoua kila linapofikia suala la uchaguzi.
CCM wanajua utamu wa asali. Huwezi kula asali bila kuumwa na Nyuki mmiliki halisi wa asali.

Umetaka kushirikiana na Nyuki kula asali Sasa unakutana na wale Nyuki wenyewe.
CCM Haina ubinadam kwenye madaraka.

Subiri uchaguzi wa 2025 Kwa Katiba hii ya kikoloni na miungu wa CCM kutaka kutawala milele na kupenda kuabudiwa kama Mwenyezi Mungu aliyeumba vitu vyote. CCM wanachoogopa ni kifo tuu Tena hawaamini kuwa kifo kitawakuta na wao mpaka kiwakute.Hapo ndio Utajua kuwa sulutani hakutolewa Kwa vikaratasi.

Wewe Zito endelea TU kulamba asali kupitia damu za Wazanzibar wanaouawa kila uchaguzi na hawakuanza Jana Wala juzi.

Na nyie wazanzibari kama sio Mwana kulittaka mlikubali vipi kubaki ACT wakati Maalim Seifu ameshafariki. Mnategemea kuwa Zito ana ubavu wa kuwatetea mtu ambaye hajawahi kukaa gerezani hata wiki Moja. Zito ni kati ya watu waliotajirishwa na Siasa. Huwezi kumtenganisha Zito na wezi wengine wa kisiasa. Zito ni Mwanasiasa Fursa. Zito angakua ni mpigania uhuru wa enzi za ukuloni basi tusingeweza kupata uhuru mana ni mwoga kuliko hata CCM wenyewe . Bora CCM Kuna watu jasiri kama JPM wanaosimamia misimamo yao mpaka wanaingia kaburini .

Zito anatamani kuingia madarakani Kwa damu na jasho la wanyonge halafu utegemee atakuja kuwaletea maendeleo na SHERIA Bora. Hajui adha ya SHERIA mbovu mana ubovu wa SHERIA ndio unaomtajirisha kupitia rushwa ya kufungwa mdomo na kuwapamba walamba asali wenzake.

Shame on you Zito Kabwe. Acha kuwadanganya Watanzania ,mshukuru huyo muuaji mana ndiye aliyekiinua Chama Chako Kwa ghiliba zenu. Wewe ni CCM kindakindaki. Kijana wa kipenyo tangu ulipokuwa sekondari . Na umekua ukipenyezwa mpaka kwenye vyuo vya wanausalama tangu enzi hizo. Sasa Leo unawadajganya watu kuwa wewe ni Mpinzani.
Wazanzibar Bora wote mrudi CCM au muende Chama Cha upinzani Cha Chadema lakini sio ACT Chama Cha maafisa usalama wa CCM. Mnapoteza muda na 2025 mtapigwa kipigo Cha MBWA MWITU.

Wazanzibari mkitaka mabadiliko unganeni na Chama ambacho kinaweza kuidhibiti CCM bara na visiwani. Yaani Mgombea urais wa Tanzania akikamatwa basi na yule wa Zanzibar anakamatwa. Maandamano yakianza Mbeya yanakwenda mpaka Pemba. Hapo patakua na MUAFAKA halisi sio huo MUAFAKA WA wachache kulamba asali huku wananchi wengi wakiumia. Vinginevyo mtulie mshikamane na CCM na Mh. Rais Mwinyi kutoka bara awaletee maendeleo kama wabara nao walivyotulia wakiletewa maendeleo na Mzanzibar.
Mh. Hussein Mwinyi usikubali kutikiswa na mla rushwa Zito Kabwe . Huyu Zito tangu enzi hizo akiwa Mbunge amekua akilalamikiwa kuwa ni mbunge mpenda rushwa kwenye kamati alizowahi kukaa.

Jiulizeni hivi Kweli Kwa siasa za CCM na Katiba ya kifalme , mpinzani wa kweli anaweza akafanya siasa za kutafuta Urais bila mateso kama Zito na Chama chake Cha CCM B anavyotafuta fursa ya kumilika nchi na vyote vilivyomo Kwa katiba ya kulamba asali?
Kama Ubunge TU unapatikana Kwa mateso na hata kuuawa kama Alfonsi Mawazo na risasi kama Lisu na wengine kukimbia nchi kama Lema au kurudi CCM kama Mwita na Nasari na Halma mdee,Dr.Mashinji n.k? Iweje Zito awe hajawahi hata kupigwa ngwala TU hajawahi?

Kama mnataka mabadiliko lazima mtafute watu sirious sio Zito.

Kifupi ni kwamba Zito ni CCM na Hana madhara yoyote Kwa CCM. Zito ana madhara zaidi Kwa wapinzani kuliko Kwa CCM. Kwa CCM Zito ni kama Bofulo TU . Hakuna mkate mgumu Mbele ya Chai.
 
View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.

Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia uchaguzi wa 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”

CCM katu haitokubali kuondoka kwa kura. Hakuna chama chochote cha upinzani watafanya kwa njia Za kidemokrasia kuiondosha CCM madarakani. Hicho ni chama cha kupindua na milele kitapindua. Kukiondosha ni kutumia ule msemo wa kiswahili
Dawa ya moto ni moto
 
View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.

Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia uchaguzi wa 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”
Ndoa ya Ccm na Act huko Zanzibar imeingia bundi.
Nguruvi3 Pascal Mayalla JokaKuu
 
WANASIASA na kundi la watu wabinafsi ,wasiojali maisha,uhai na utu Wa wengine,watu wenye roho mbaya, wasiopenda kuongozwa na wengine isipokuwa kila mara wapo mbele kimaslahi
Usiseme wanasiasa bali sema baadhi ya wanasiasa kama Magufuri.
 
Ndoa ya Ccm na Act huko Zanzibar imeingia bundi.
Nguruvi3 Pascal Mayalla JokaKuu
Mkuu Retired, hii ndoa ipo salama kabisa kwasababu hii sio ndoa ya mkeka, hii ni ndoa haswaa!. Wana ndoa wenyewe hawana matatizo yoyore serious, ni just ups and downs kwenye ndoa ambalo ni jambo la kawaida sana, hawa wapiga kelele ni wakwe tuu, mashemeji na mawifi lakini wanandoa wenyewe... wala!. Umeisha msikia Mzazibari yoyote kulalamika?. Zitto ni ba mkwe wa kufikia na mashemeji wa kufikia lakini wenyewe, wanaelewana!.

Ndoa ambayo ilitaka kuingia kitisho, na ilikuwa kwenye hatari ya kuvunjika ilikuwa ndoa hii ya JMT... Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? na sio kijindoa hiki cha SUK.
P.
 
Zitto anataka kutuambia kwamba maamuzi yao kujiunga SUK yalitokana na ridhaa ya wananchi wapi? wale waliopigwa mabomu ya machozi na kuchomewa nyumba zao kule Pemba au wengine?

Kama ni hao Zitto anatudanganya, sikuwahi kuona popote wale waathirika wa uchaguzi wa 2020 kama waliwahi kulipwa fidia ya madhila waliyofanyiwa, na kama Zitto na ACT walienda SUK ili kuwasemea wale waathirika, mpaka leo walikuwa wanafanya nini kule serikalini kama waathirika wale hawakupewa stahiki zao?

Ukweli ni kwamba, ule ndio ulikuwa wakati wa Zitto na ACT wenzake kurudi kwa wananchi na kuwaambia CCM wamegoma kuwalipa fidia, hivyo wajitoe SUK au vipi, lakini sio leo kurudi kwa wananchi kisa aliyeteuliwa na Mwinyi hawamtaki, wao wanawaza uchaguzi tu ili uwape vyeo vya kula, hawa wanaonesha jinsi walivyo selfish.
Viongozi wa act wanalamba asali hawana habari na wananchi
 
Usiseme wanasiasa bali sema baadhi ya wanasiasa kama Magufuri.
Almost ni wote mana wanatokana na kundi la maajenti wa mabeberu uchwara.

Wanasiasa kote Duniani ni watu wabinafsi.
Kinachowaafanya angalau wawe waungwana ni Katiba na SHERIA zinazowafanya wawe watu wa kawaida kama watu wengine.

Kwenye katiba mbovu wanasiasa wanakua ni kundi la Wahalifu waliojipenyeza na kuingia madarakani au kupandikiza watu wao.Wahalifu wanapenyeza watu wao kila Idara na kufanikiwa kuwaweka wanasiasa Kwa ajili ya kulinda maslahi yao.

Ndio maana Kwa mfano Mashoga wamefanikiwa kupenyeza watu wao na Sasa wanaeneza Ushoga bila kujali. Jiulize ni Kwa Nini mashoga wanahamasisha ushoga ? Kwa Nini isibaki kama hulka binafsi ya mtu na sio kuhamasisha na kuhakikisha Vijana wengi wanajihusisha na ushoga au usagaji.

Na walioko kwenye siasa asilimia zaidi ya 95 wanaunga mkono vitendo vya hovyo ikiwemo rushwa na ufisadi na hata mahusiano ya jinsia Moja Kwa sababu ni vitendo vinavyowafanikisa
 
Mkuu Retired, hii ndoa ipo salama kabisa kwasababu hii sio ndoa ya mkeka, hii ni ndoa haswaa!. Wana ndoa wenyewe hawana matatizo yoyore serious, ni just ups and downs kwenye ndoa ambalo ni jambo la kawaida sana, hawa wapiga kelele ni wakwe tuu, mashemeji na mawifi lakini wanandoa wenyewe... wala!. Umeisha msikia Mzazibari yoyote kulalamika?. Zitto ni ba mkwe wa kufikia na mashemeji wa kufikia lakini wenyewe, wanaelewana!.

Ndoa ambayo ilitaka kuingia kitisho, na ilikuwa kwenye hatari ya kuvunjika ilikuwa ndoa hii ya JMT... Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? na sio kijindoa hiki cha SUK.
P.
Sio kweli mkuu, hali ingekua shwari hilo jambo lingemaliza huko huko ndani..
Kalamu JokaKuu zitto junior
 
View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.

Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia uchaguzi wa 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”
1. Nilidhani Mhe. Rais Dk. Mwinyi kakiuka katiba kumbe, No! 2. Mamlaka ya Rais katika kuteua na kutengua hayahojiwi. 3. Hiki kinachofanywa na ACT ni kujaribu kuvunja SUK, kwa sababu msingi wa hii serikali ni kuaminiana.🙏🙏🙏
 
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
Wee mjinga na mpumbafu wa karne unatokea pande zipi za dunia ili tulete pos
 
Back
Top Bottom