Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

1. Nilidhani Mhe. Rais Dk. Mwinyi kakiuka katiba kumbe, No! 2. Mamlaka ya Rais katika kuteua na kutengua hayahojiwi. 3. Hiki kinachofanywa na ACT ni kujaribu kuvunja SUK, kwa sababu msingi wa hii serikali ni kuaminiana.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Ili ACT waingie katika serikali ya GNU kulikuwa na makubaliano waliyotiliana saini yatekelezwe . moja likiwa hili la kubadilisha hawa viongozi wa Tume . Makubaliano hayo mengi hayajatekelezwa na muda unaisha
 
Just relax the kunywa maji itakusaidia
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
 
Ili ACT waingie katika serikali ya GNU kulikuwa na makubaliano waliyotiliana saini yatekelezwe . moja likiwa hili la kubadilisha hawa viongozi wa Tume . Makubaliano hayo mengi hayajatekelezwa na muda unaisha
Ila makubaliano hayawezi kuwa juu ya Katiba. Pia makubaliano hayo uliyorejea yanasisitiza umuhimu wa kuaminiana ndugu yangu. ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Kwani hapo walilpotiliana saini hawakujua hayo ?
 
ACT Wazalendo waweke ushahidi kwamba, makubaliano ya GNU yanaweza kuwa juu ya Katiba inayompa Rais mamlaka. Kwamba hatatumia mamlaka yake kwa mujibu wa Katiba bali kwa mujibu wa GNU.# Mimi na wewe ni raia tuijenge nchi.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Mimi siongei kuhusu kipi kiko juu ? Swali hapo walipokubaliana kwani hawakujua kwamba katiba ipo juu?
 
ACT Wazalendo waweke ushahidi kwamba, makubaliano ya GNU yanaweza kuwa juu ya Katiba inayompa Rais mamlaka. Kwamba hatatumia mamlaka yake kwa mujibu wa Katiba bali kwa mujibu wa GNU.# Mimi na wewe ni raia tuijenge nchi.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Mimi siongei kuhusu kipi kiko juu ? Swali hapo walipokubaliana hawakujua kwamba katiba ipo juu?
 
Back
Top Bottom