Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

ACT Wazalendo ni Vyama viwili
 
Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
 
Zitto sasa hivi anachanganyikiwa na anahitaji Msaada wa kisaikolojia wa haraka sana kabla mambo hayajawa mabaya zaidi, wakati wenzake wanaungana kudai Katiba Mpya yeye alimtambua Mahera na kuendelea na Uchaguzi huku bara akawaona wenzie hawana maana,sasa kaibukia Zanzibar analialia akihitaji Msaada mpuuzeni tu, huenda anatumika kuzima sakata la Precision Air.
 
Sasa wewe mpumbavu Chadema inahusika nini hapa?
 
Tena umoja upo Zanzibar wanaoenda kuulizwa ni Wana tunduru inaingia akilini kweli?
 

Ni mwanachama gani huyo alisapooti wao kuingia kwenye serikali ya Umoja wa kitaifa?. Wao waliingia baada ya kuona CHADEMA wamekosa wabunge , wakadhani watacapture political influence. Ndio maana wakaendelea kushiriki chaguzi ndogo baada ya 2020.
 

Nadhani Ni muda Sasa CHADEMA iende ikainvest kwenye siasa za Zanzibar. Chadema misimamo yake inafahamika.
 

ACT waliingia chaka kwa Zitto. Atawaingiza kwenye shimo mpaka wakubali. Kwa Sasa Zanzibar ACT imebakiza wafuasi wa Maalim lakini sio wa chama.
 

Out of context baadala ya kuongelea kitu kilichopitishwa wewe unaongelea kitu Cha kudhania.
 
ACT acheni chokochoko, KAZI IENDELEE ✔️😂😂😂
 
Vikao vilifanyika Pemba na Unguja kuwauliza wanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…