SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Maalim Seif alifanya kitendo cha kujiua kisiasa kuingia ACT, nafikiri hakumjua Zitto ni nani katika siasa za nchi.ACT waliingia chaka kwa Zitto. Atawaingiza kwenye shimo mpaka wakubali. Kwa Sasa Zanzibar ACT imebakiza wafuasi wa Maalim lakini sio wa chama.
Ulikuwepo?Vikao vilifanyika Pemba na Unguja kuwauliza wanachama.
Kama wamewakataa COVID 19 pamoja na ruzuku unafikiri CHADEMA ni wapumbavu kama wewe?Chadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !
Basi kutakuwa kuna namna amegundua mchongo hapa.Atapata milioni 100 tu na hiyo kauli ataifuta ,mzee wa fursa na kupamba asali
Hakupewa kitu. Na ndicho ambacho zitto anamlaani sana Magufuli. Magufuli hakuwa akitaka kumtoa kitu... Tofauti na Yule mwingine na huyu hawa wapo vizuri wanatoa mgao.Ile 2020 mwenda zake alimtia B2 kumlegeza,Samia lazima azidishe dau,hapo lazima atalamba B5
WANASIASA na kundi la watu wabinafsi ,wasiojali maisha,uhai na utu Wa wengine,watu wenye roho mbaya, wasiopenda kuongozwa na wengine isipokuwa kila mara wapo mbele kimaslahiZitto anataka kutuambia kwamba maamuzi yao kujiunga SUK yalitokana na ridhaa ya wananchi wapi? wale waliopigwa mabomu ya machozi na kuchomewa nyumba zao kule Pemba au wengine?
Kama ni hao Zitto anatudanganya, sikuwahi kuona popote wale waathirika wa uchaguzi wa 2020 kama waliwahi kulipwa fidia ya madhila waliyofanyiwa, na kama Zitto na ACT walienda SUK ili kuwasemea wale waathirika, mpaka leo walikuwa wanafanya nini kule serikalini kama waathirika wale hawakupewa stahiki zao?
Ukweli ni kwamba, ule ndio ulikuwa wakati wa Zitto na ACT wenzake kurudi kwa wananchi na kuwaambia CCM wamegoma kuwalipa fidia, hivyo wajitoe SUK au vipi, lakini sio leo kurudi kwa wananchi kisa aliyeteuliwa na Mwinyi hawamtaki, wao wanawaza uchaguzi tu ili uwape vyeo vya kula, hawa wanaonesha jinsi walivyo selfish.
View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.
Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia uchaguzi wa 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”
Ndoa ya Ccm na Act huko Zanzibar imeingia bundi.View attachment 2418431

Usiseme wanasiasa bali sema baadhi ya wanasiasa kama Magufuri.WANASIASA na kundi la watu wabinafsi ,wasiojali maisha,uhai na utu Wa wengine,watu wenye roho mbaya, wasiopenda kuongozwa na wengine isipokuwa kila mara wapo mbele kimaslahi
Mkuu Retired, hii ndoa ipo salama kabisa kwasababu hii sio ndoa ya mkeka, hii ni ndoa haswaa!. Wana ndoa wenyewe hawana matatizo yoyore serious, ni just ups and downs kwenye ndoa ambalo ni jambo la kawaida sana, hawa wapiga kelele ni wakwe tuu, mashemeji na mawifi lakini wanandoa wenyewe... wala!. Umeisha msikia Mzazibari yoyote kulalamika?. Zitto ni ba mkwe wa kufikia na mashemeji wa kufikia lakini wenyewe, wanaelewana!.
Naunga mkono hoja Kaka Mkubwa...Hii ndoa ipo salama kabisa kwasababu hii sio ndoa ya mkeka, hii ni ndoa haswaa!. Wana ndoa wenyewe hawana matatizo, ups and downs kwenye ndoa ni jambo la kawaida.
Ndoa ambayo ilitaka kuingia kitisho, ilikuwa ndoa hii ya JMT Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? na sio kijindoa hiki cha SUK.
P.
Viongozi wa act wanalamba asali hawana habari na wananchiZitto anataka kutuambia kwamba maamuzi yao kujiunga SUK yalitokana na ridhaa ya wananchi wapi? wale waliopigwa mabomu ya machozi na kuchomewa nyumba zao kule Pemba au wengine?
Kama ni hao Zitto anatudanganya, sikuwahi kuona popote wale waathirika wa uchaguzi wa 2020 kama waliwahi kulipwa fidia ya madhila waliyofanyiwa, na kama Zitto na ACT walienda SUK ili kuwasemea wale waathirika, mpaka leo walikuwa wanafanya nini kule serikalini kama waathirika wale hawakupewa stahiki zao?
Ukweli ni kwamba, ule ndio ulikuwa wakati wa Zitto na ACT wenzake kurudi kwa wananchi na kuwaambia CCM wamegoma kuwalipa fidia, hivyo wajitoe SUK au vipi, lakini sio leo kurudi kwa wananchi kisa aliyeteuliwa na Mwinyi hawamtaki, wao wanawaza uchaguzi tu ili uwape vyeo vya kula, hawa wanaonesha jinsi walivyo selfish.
Almost ni wote mana wanatokana na kundi la maajenti wa mabeberu uchwara.Usiseme wanasiasa bali sema baadhi ya wanasiasa kama Magufuri.
Sio kweli mkuu, hali ingekua shwari hilo jambo lingemaliza huko huko ndani..Mkuu Retired, hii ndoa ipo salama kabisa kwasababu hii sio ndoa ya mkeka, hii ni ndoa haswaa!. Wana ndoa wenyewe hawana matatizo yoyore serious, ni just ups and downs kwenye ndoa ambalo ni jambo la kawaida sana, hawa wapiga kelele ni wakwe tuu, mashemeji na mawifi lakini wanandoa wenyewe... wala!. Umeisha msikia Mzazibari yoyote kulalamika?. Zitto ni ba mkwe wa kufikia na mashemeji wa kufikia lakini wenyewe, wanaelewana!.
Ndoa ambayo ilitaka kuingia kitisho, na ilikuwa kwenye hatari ya kuvunjika ilikuwa ndoa hii ya JMT... Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? na sio kijindoa hiki cha SUK.
P.
1. Nilidhani Mhe. Rais Dk. Mwinyi kakiuka katiba kumbe, No! 2. Mamlaka ya Rais katika kuteua na kutengua hayahojiwi. 3. Hiki kinachofanywa na ACT ni kujaribu kuvunja SUK, kwa sababu msingi wa hii serikali ni kuaminiana.🙏🙏🙏View attachment 2418431
"Suala la Rais Mwinyi kumteua mtu aliyehusika kuvuruga uchaguzi wa 2020 kuwa Mkurugenzi wa ZEC, HALIKUBALIKI. Tumeamua kurudi chini kwa Wanachama wetu. Ni wao waliotaka tuingie kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa, wao pia ndio watakao amua hili," kauli ya Zitto Kabwe akiwa Kata ya Mchoteka, Jimbo la Tunduru Kusini, Ruvuma.
Anasema: “Ziara hii ya Tunduru ilipaswa kufanywa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, lakini imebidi aongoze kikao cha Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya ACT Wazalendo Zanzibar, Kujadili Suala ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Rais Mwinyi ameteua mtu aliyesimamia uchaguzi wa 2020, sisi tumeamua kurudi kwa Viongozi na Wanachama wetu ngazi ya Matawi, tutawaambia hali ilivyo, na watuambia la kufanya.”
Wee mjinga na mpumbafu wa karne unatokea pande zipi za dunia ili tulete posChadema ni wapumbavu tena ni wajinga wangekuwa ni wao wamepewa ya kuunda suk wasingekataa! wivu wivu wivu, na roho mbaya kwa zzk, matamanio yenu ni kutaka zzk kila anachofanya asifanikiwe! mlijua mkimfukuza chadema atakuwa mburula sasa mmejigeuza kuwa wachawi, hakuna siasa takatifu hapa duniani nyinyi mna udwanzi kibao mnaleta unaaa hapa! mnaenda ikulu kufanya nini kama hamtaki maridhiano, zungumzieni mambo yenu sio kila jambo likitokea mnamnanga zitto! mlishindwa kuumfanya chochote akiwa kwenu !hata maneno yenu hayataweza kubadili chochote !