Zitto Kabwe: Rais Mwinyi ameteua mtu aliyevuruga uchaguzi wa 2020

1. Nilidhani Mhe. Rais Dk. Mwinyi kakiuka katiba kumbe, No! 2. Mamlaka ya Rais katika kuteua na kutengua hayahojiwi. 3. Hiki kinachofanywa na ACT ni kujaribu kuvunja SUK, kwa sababu msingi wa hii serikali ni kuaminiana.πŸ™πŸ™πŸ™

Ili ACT waingie katika serikali ya GNU kulikuwa na makubaliano waliyotiliana saini yatekelezwe . moja likiwa hili la kubadilisha hawa viongozi wa Tume . Makubaliano hayo mengi hayajatekelezwa na muda unaisha
 
Just relax the kunywa maji itakusaidia
 
Ili ACT waingie katika serikali ya GNU kulikuwa na makubaliano waliyotiliana saini yatekelezwe . moja likiwa hili la kubadilisha hawa viongozi wa Tume . Makubaliano hayo mengi hayajatekelezwa na muda unaisha
Ila makubaliano hayawezi kuwa juu ya Katiba. Pia makubaliano hayo uliyorejea yanasisitiza umuhimu wa kuaminiana ndugu yangu. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwani hapo walilpotiliana saini hawakujua hayo ?
 
ACT Wazalendo waweke ushahidi kwamba, makubaliano ya GNU yanaweza kuwa juu ya Katiba inayompa Rais mamlaka. Kwamba hatatumia mamlaka yake kwa mujibu wa Katiba bali kwa mujibu wa GNU.# Mimi na wewe ni raia tuijenge nchi.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mimi siongei kuhusu kipi kiko juu ? Swali hapo walipokubaliana kwani hawakujua kwamba katiba ipo juu?
 
ACT Wazalendo waweke ushahidi kwamba, makubaliano ya GNU yanaweza kuwa juu ya Katiba inayompa Rais mamlaka. Kwamba hatatumia mamlaka yake kwa mujibu wa Katiba bali kwa mujibu wa GNU.# Mimi na wewe ni raia tuijenge nchi.πŸ™πŸ™πŸ™
Mimi siongei kuhusu kipi kiko juu ? Swali hapo walipokubaliana hawakujua kwamba katiba ipo juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…