Zitto Kabwe sasa umefika wakati wa kuambiwa ukweli

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
245
Reaction score
314
ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI.

1580367166232.png

Na David maphone

Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu.

Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE hana nia njema na nchi yetu na unatumiwa na MABEBERU kwa Maslahi yake binafsi.

ZITTO KABWE ni mwanasiasa anayejaribu kuwaaminisha Watanzania hasa wafuasi wake kuwa anajua Kila kitu kuliko watanzania wote.

Kwa wale wasiomfahamu ZITTO KABWE ni wakati sasa wa kumfahamu kupitia Ukurasa wangu,

Kwanza Mh. Zitto kabwe ni mwanasiasa aliyebarikiwa kukosa haya (Hana aibu) ndio maana anaweza kutoa Takwimu za uongo pamoja na Mamlaka zikatoa ufafanuzi kwa ushahidi kabisa (Documents) lakini kesho yake anaibua tena na uongo mwinginee kwa sababu ya kutokuwa na aibu.

Mfano hivi karibu Ni sakata la korosho pamoja na makelele yote yale ya ZITTO KABWE ilikuja kubainika kuwa Mhe Zitto Kabwe anamiliki mashamba ya korosho Mtwara.

Hivyohivyo kwenye makampuni ya madini Mh. ZITTO KABWE inadaiwa kuwa ana mgao wake kwenye makampuni hayo na ndio watoto wake wanasomeshwa shule za gharama kubwa.

UNAFIKI WA ZITTO

Wakati leo Mh ZITTO akizunguka dunia kwa agenda ya kusaka Demokrasia huko nje Ni ZITTO huyu mwaka 2016 alisimama mbele ya Watanzania na kumshambulia Tundu lissu na Chadema kuwa Mambo ya Ndani ya nchi yanamalizwa ndani ya nchi,akasema (Nanukuu) "Ni uzwazwa kwa mwanasiasa kishabikia nchi kukosa misaada kwa sababu watakaoathirika ni watanzania wote"

Mh ZITTO aliendelea kusema Ni siasa za kishamba kupeleka masuala yetu ya ndani nje ya nchi na kwaamba chama chake hakiungi mkono, Vile vile ukipitia account yake ya Twitter,July 17 alitwit kwa kusema "huu ni UHAYAWANI.hii ni nchi huru kukaribisha wageni kuingilia Mambo yetu Ni UPUUZI na UMAZWAZWA,tupambane ndani kuleta Demokrasia ya ndani"hapo Mh ZITTO alikuwa akijibu Twitter ya swahili Times ya tarehe 18july 2017, iliyomnukuu Tundu lissu kiongozi wa CHadema waliyotaka Jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada watanzania kutokana na walichokidai kuwa ni ikiukwaji wa Demokrasia.

1580367372277.png

Zitto kabwe anapigania maslahi yake lukuki na sio Maslahi ya watanzania

Swali langu:

1. Mh. Zitto leo anazunguka dunia kusaka demokrasi kama alivyomkemea Lissu na Chadema.Je huo ni ushamba?

2.Mh Zitto leo ana sherehekea nchi kunyimwa misaada na Bank ya dunia je watakaoathirika Ni viongozi Ni viongozi wa serikali tu na sio Watanzania wote?

3.Mh Zitto so wewe ulimsifia mhe Rais Magufuli pale Kigoma kwa kuleta maendeleo au ulikuwa umeelewa?

4. Mh.zitto kwanini umekuwa hayawani mpaka unafanya Upuuzi na Umazwazwa ulioukemea Tarehe 18 July 2017.?

Hapo ndipo utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE ni mwanasiasa MNAFIKI na hajaanza leo ndio maana alifukuzwa Chadema kwa aibu.

HUU NI UTANGULIZI NARUDI KUTOA USHAHIDI KUHUSU WAKALA HUU WA MABEBERU.
 
mwandishi mwenyewe hamfahamu zzk ila anataka tufahamisha

nilitegemea ashushe nondo kabaki twambia nasikia ana pata mgao toka kampuni za madini

ko unakili kijanja kwamba vyombo vyetu vya usalama viko dhaifu sana hadi kushindwa yafahamu haya ila ww ukayafahamu
 
Huyu Mwandishi uwezo wake ni mdogo sana! Kama CCM itaendelea kutumia watu wenye upeo mdogo kama hawa basi CCM haitafika mbali!

Ukweli ni kwamba Zitto Kabwe ni Mwanasiasa aliyejijenga vizuri na ni msomi wa Kweli japo mimi na yeye tunatofautiana ktk maeneo fulani fulani!

Hoja kwamba Zitto Kabwe anatumiwa na Mabeberu ni hoja ya wajinga wasiojua kitu au wanafiki wachumia tumbo!

Hoja ya kujibu hapa ni je Mkopo huu " umeahirishwa" kutolewa kwa sababu za msingi au la?!

Ukweli ni kuwa zipo sababu za msingi!

Mhe.Rais Magufuli alipotoa kauli ya kutosomesha watoto waliopata mimba shule ,je alifanya reference kuhusu haki ya Elimu kwa wote na sisi kama Nchi mikataba ya Kimataifa tuliyoridhia kuhusu maazimio ya umuhimu wa Elimu kwa wote!

Kwanini tuwaadhibu watoto wa kike kwa kuwanyima Elimu kwasababu ya kupata mimba!?

Tunachopaswa ni ku-control watoto hawa wasipate mimba wakiwa Shule! Mbona Mhe. Rais Magufuli ana promote kuzaliana kama mojawapo njia nzuri ya kukuza Uchumi kwa kuongeza population?

Mhe.Zitto Kabwe kwa akili aliyonayo na kipato chake anaweza kusomesha watoto wake popote Duniani, mleta hoja ana mawazo ya kishamba na kimaskini sana!

Mhe.Zitto Kabwe kuweza kuishawishi World Bank na kumsikiliza ni sifa kubwa kwake na kwa watu wote wenye uelewa!

Kumbuka kuwa World Bank ni taasisi kubwa yenye uwakilishi mpana hadi Waafrika wasomi wamo na si Wazungu tu kama wajinga fulani wanavyopotosha!

Mhe.Zitto Kabwe jana kupitia BBC ameileza Dunia kupitia kwa swali Mtangazaji Zuhura Yunus kuwa yuko nje kwa ajili ya ushawishi huo kwasababu ndani ya Tanzania hakuna nafasi (space) kwa ajili ya majadiliano na miafaka kama Taifa.Hakuna Uhuru wa habari,Demokrasia ,Utawala wa sheria na mambo mengine kibao! Hizo ndizo hoja za kutolewa ufafanuzi na watu wenye akili!
 
Wazee wa lumumba na vijana wao (buku 7) wamechanganyikiwa baada ya kubaini mabeberu ndio msaada mkubwa kwa nchi na sasa wanausikiliza upinzani

Ninyi maVegetable mnatakiwa mtulir dawa iwaingie, mkitikisika sindano itakatikia
 
ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI.

View attachment 1340576

Na David maphone

Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu.

Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE hana nia njema na nchi yetu na unatumiwa na MABEBERU kwa Maslahi yake binafsi.

ZITTO KABWE ni mwanasiasa anayejaribu kuwaaminisha Watanzania hasa wafuasi wake kuwa anajua Kila kitu kuliko watanzania wote.

Kwa wale wasiomfahamu ZITTO KABWE ni wakati sasa wa kumfahamu kupitia Ukurasa wangu,

Kwanza Mh. Zitto kabwe ni mwanasiasa aliyebarikiwa kukosa haya (Hana aibu) ndio maana anaweza kutoa Takwimu za uongo pamoja na Mamlaka zikatoa ufafanuzi kwa ushahidi kabisa (Documents) lakini kesho yake anaibua tena na uongo mwinginee kwa sababu ya kutokuwa na aibu.

Mfano hivi karibu Ni sakata la korosho pamoja na makelele yote yale ya ZITTO KABWE ilikuja kubainika kuwa Mhe Zitto Kabwe anamiliki mashamba ya korosho Mtwara.

Hivyohivyo kwenye makampuni ya madini Mh. ZITTO KABWE inadaiwa kuwa ana mgao wake kwenye makampuni hayo na ndio watoto wake wanasomeshwa shule za gharama kubwa.

UNAFIKI WA ZITTO

Wakati leo Mh ZITTO akizunguka dunia kwa agenda ya kusaka Demokrasia huko nje Ni ZITTO huyu mwaka 2016 alisimama mbele ya Watanzania na kumshambulia Tundu lissu na Chadema kuwa Mambo ya Ndani ya nchi yanamalizwa ndani ya nchi,akasema (Nanukuu) "Ni uzwazwa kwa mwanasiasa kishabikia nchi kukosa misaada kwa sababu watakaoathirika ni watanzania wote"

Mh ZITTO aliendelea kusema Ni siasa za kishamba kupeleka masuala yetu ya ndani nje ya nchi na kwaamba chama chake hakiungi mkono, Vile vile ukipitia account yake ya Twitter,July 17 alitwit kwa kusema "huu ni UHAYAWANI.hii ni nchi huru kukaribisha wageni kuingilia Mambo yetu Ni UPUUZI na UMAZWAZWA,tupambane ndani kuleta Demokrasia ya ndani"hapo Mh ZITTO alikuwa akijibu Twitter ya swahili Times ya tarehe 18july 2017, iliyomnukuu Tundu lissu kiongozi wa CHadema waliyotaka Jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada watanzania kutokana na walichokidai kuwa ni ikiukwaji wa Demokrasia.

View attachment 1340584

Zitto kabwe anapigania maslahi yake lukuki na sio Maslahi ya watanzania

Swali langu:

1. Mh. Zitto leo anazunguka dunia kusaka demokrasi kama alivyomkemea Lissu na Chadema.Je huo ni ushamba?

2.Mh Zitto leo ana sherehekea nchi kunyimwa misaada na Bank ya dunia je watakaoathirika Ni viongozi Ni viongozi wa serikali tu na sio Watanzania wote?

3.Mh Zitto so wewe ulimsifia mhe Rais Magufuli pale Kigoma kwa kuleta maendeleo au ulikuwa umeelewa?

4. Mh.zitto kwanini umekuwa hayawani mpaka unafanya Upuuzi na Umazwazwa ulioukemea Tarehe 18 July 2017.?

Hapo ndipo utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE ni mwanasiasa MNAFIKI na hajaanza leo ndio maana alifukuzwa Chadema kwa aibu.

HUU NI UTANGULIZI NARUDI KUTOA USHAHIDI KUHUSU WAKALA HUU WA MABEBERU.
Watanzania wapi unawasemea? hukuna Mtanzania mwenye Akili timamu atakaa akubali uwe mwakilishi wake kwa uandishi huu wa kijinga jinga hivi, watanzania wameamka wanajua vingi kuliko wewe , mwambie Le mutuz aendelee kula pesa za CCM kwani ni vipofu waendelee kuwapa pesa wakiamini mtawasaidia kuwatetea mitandaoni kumbe mnazidi kuichafua CCM.
 
ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI.

View attachment 1340576

Na David maphone

Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu.

Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE hana nia njema na nchi yetu na unatumiwa na MABEBERU kwa Maslahi yake binafsi.

ZITTO KABWE ni mwanasiasa anayejaribu kuwaaminisha Watanzania hasa wafuasi wake kuwa anajua Kila kitu kuliko watanzania wote.

Kwa wale wasiomfahamu ZITTO KABWE ni wakati sasa wa kumfahamu kupitia Ukurasa wangu,

Kwanza Mh. Zitto kabwe ni mwanasiasa aliyebarikiwa kukosa haya (Hana aibu) ndio maana anaweza kutoa Takwimu za uongo pamoja na Mamlaka zikatoa ufafanuzi kwa ushahidi kabisa (Documents) lakini kesho yake anaibua tena na uongo mwinginee kwa sababu ya kutokuwa na aibu.

Mfano hivi karibu Ni sakata la korosho pamoja na makelele yote yale ya ZITTO KABWE ilikuja kubainika kuwa Mhe Zitto Kabwe anamiliki mashamba ya korosho Mtwara.

Hivyohivyo kwenye makampuni ya madini Mh. ZITTO KABWE inadaiwa kuwa ana mgao wake kwenye makampuni hayo na ndio watoto wake wanasomeshwa shule za gharama kubwa.

UNAFIKI WA ZITTO

Wakati leo Mh ZITTO akizunguka dunia kwa agenda ya kusaka Demokrasia huko nje Ni ZITTO huyu mwaka 2016 alisimama mbele ya Watanzania na kumshambulia Tundu lissu na Chadema kuwa Mambo ya Ndani ya nchi yanamalizwa ndani ya nchi,akasema (Nanukuu) "Ni uzwazwa kwa mwanasiasa kishabikia nchi kukosa misaada kwa sababu watakaoathirika ni watanzania wote"

Mh ZITTO aliendelea kusema Ni siasa za kishamba kupeleka masuala yetu ya ndani nje ya nchi na kwaamba chama chake hakiungi mkono, Vile vile ukipitia account yake ya Twitter,July 17 alitwit kwa kusema "huu ni UHAYAWANI.hii ni nchi huru kukaribisha wageni kuingilia Mambo yetu Ni UPUUZI na UMAZWAZWA,tupambane ndani kuleta Demokrasia ya ndani"hapo Mh ZITTO alikuwa akijibu Twitter ya swahili Times ya tarehe 18july 2017, iliyomnukuu Tundu lissu kiongozi wa CHadema waliyotaka Jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada watanzania kutokana na walichokidai kuwa ni ikiukwaji wa Demokrasia.

View attachment 1340584

Zitto kabwe anapigania maslahi yake lukuki na sio Maslahi ya watanzania

Swali langu:

1. Mh. Zitto leo anazunguka dunia kusaka demokrasi kama alivyomkemea Lissu na Chadema.Je huo ni ushamba?

2.Mh Zitto leo ana sherehekea nchi kunyimwa misaada na Bank ya dunia je watakaoathirika Ni viongozi Ni viongozi wa serikali tu na sio Watanzania wote?

3.Mh Zitto so wewe ulimsifia mhe Rais Magufuli pale Kigoma kwa kuleta maendeleo au ulikuwa umeelewa?

4. Mh.zitto kwanini umekuwa hayawani mpaka unafanya Upuuzi na Umazwazwa ulioukemea Tarehe 18 July 2017.?

Hapo ndipo utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE ni mwanasiasa MNAFIKI na hajaanza leo ndio maana alifukuzwa Chadema kwa aibu.

HUU NI UTANGULIZI NARUDI KUTOA USHAHIDI KUHUSU WAKALA HUU WA MABEBERU.
YANATEGEMEWA HAYA. Zitto ni AKILI KUBWA na wa kumuweza nani ndani ya chama tawala, Chakubanga? Huyu mtamuweza kwa hizi hizi mbinu za propaganda na character assassination.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2.Mh Zitto leo ana sherehekea nchi kunyimwa misaada na Bank ya dunia je watakaoathirika Ni viongozi Ni viongozi wa serikali tu na sio Watanzania wote?

Sio misaada ni Mkopo

Tanzania inaomba Mkopo kwa WB. na sio Misaada.

Tanzania inaweza kukopa china kama WB wamekataa kwa masharti/vigezo vyao.
 
Heri tuwape uwanja mpigane tu sio kwa kurushiana maneno

Hivi Magufuli na Zitto nani hana aibu wala haya za uso?
 
Hoja inajibiwa na hoja iliyo bora zaidi,mtoa hoja kuna uwezekano mkubwa unaishi kule kwenye ivory tower,kwenye AC,unatibiwa SA au India na watoto wako wanasoma in one of the top schools,please shuka chini ili uje u smell coffee,Mh.Zito ni politician makini ambaye nchi imeweza kumtoa,mwanasiasa huyu angekuwa amezaliwa kwenye nchi zinazoishi kwa mujibu wa kisheria kama Namibia,SA ,Botswana angekuwa mbali sana ,Mh.Zito anajenga hoja zenye FACTS na vielelezo vya kuthibitisha anayoyasema,sio kama mtoa hoja ambaye ameelezea tuhuma bila ya kufanya home work ya kututhibitishia kuwa anamiliki mashamba ya korosho na ana hisa kwenye migodi(please prove this),ni serikali ya ccm ndio iliyotufikisha hapa ,baada ya kuitawala nchi yetu for more than 50yrs bila ya kuwa na cha kujivunia,Elimu yetu ni ovyo,huduma za Afya ni below standard(tunahitaji maenesi,Doctors wenye ufahamu wa kazi zao,sio majengo!!),ni serikali ya ccm imeua uhuru wa vyombo vya habari ndio maana tunakimbilia huku including mtoa hoja,watu wanatenganishwa na familia zao kwenye mazingira ya utata,sasa tunapopata politicians kama Mh.Zito anazizungumzia hizi bila woga ni muhimu kwetu kushukuru,mimi na wewe tu waoga ila mahodari wa kulalamika kwenye key boards!!
 
Sio misaada ni Mkopo

Tanzania inaomba Mkopo kwa WB. na sio Misaada.

Tanzania inaweza kukopa china kama WB wamekataa kwa masharti/vigezo vyao.
Sasa kawambie hao CCM wakakope China na siyo kulialia hapa!
 
ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI.

View attachment 1340576

Na David maphone

Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu.

Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE hana nia njema na nchi yetu na unatumiwa na MABEBERU kwa Maslahi yake binafsi.

ZITTO KABWE ni mwanasiasa anayejaribu kuwaaminisha Watanzania hasa wafuasi wake kuwa anajua Kila kitu kuliko watanzania wote.

Kwa wale wasiomfahamu ZITTO KABWE ni wakati sasa wa kumfahamu kupitia Ukurasa wangu,

Kwanza Mh. Zitto kabwe ni mwanasiasa aliyebarikiwa kukosa haya (Hana aibu) ndio maana anaweza kutoa Takwimu za uongo pamoja na Mamlaka zikatoa ufafanuzi kwa ushahidi kabisa (Documents) lakini kesho yake anaibua tena na uongo mwinginee kwa sababu ya kutokuwa na aibu.

Mfano hivi karibu Ni sakata la korosho pamoja na makelele yote yale ya ZITTO KABWE ilikuja kubainika kuwa Mhe Zitto Kabwe anamiliki mashamba ya korosho Mtwara.

Hivyohivyo kwenye makampuni ya madini Mh. ZITTO KABWE inadaiwa kuwa ana mgao wake kwenye makampuni hayo na ndio watoto wake wanasomeshwa shule za gharama kubwa.

UNAFIKI WA ZITTO

Wakati leo Mh ZITTO akizunguka dunia kwa agenda ya kusaka Demokrasia huko nje Ni ZITTO huyu mwaka 2016 alisimama mbele ya Watanzania na kumshambulia Tundu lissu na Chadema kuwa Mambo ya Ndani ya nchi yanamalizwa ndani ya nchi,akasema (Nanukuu) "Ni uzwazwa kwa mwanasiasa kishabikia nchi kukosa misaada kwa sababu watakaoathirika ni watanzania wote"

Mh ZITTO aliendelea kusema Ni siasa za kishamba kupeleka masuala yetu ya ndani nje ya nchi na kwaamba chama chake hakiungi mkono, Vile vile ukipitia account yake ya Twitter,July 17 alitwit kwa kusema "huu ni UHAYAWANI.hii ni nchi huru kukaribisha wageni kuingilia Mambo yetu Ni UPUUZI na UMAZWAZWA,tupambane ndani kuleta Demokrasia ya ndani"hapo Mh ZITTO alikuwa akijibu Twitter ya swahili Times ya tarehe 18july 2017, iliyomnukuu Tundu lissu kiongozi wa CHadema waliyotaka Jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada watanzania kutokana na walichokidai kuwa ni ikiukwaji wa Demokrasia.

View attachment 1340584

Zitto kabwe anapigania maslahi yake lukuki na sio Maslahi ya watanzania

Swali langu:

1. Mh. Zitto leo anazunguka dunia kusaka demokrasi kama alivyomkemea Lissu na Chadema.Je huo ni ushamba?

2.Mh Zitto leo ana sherehekea nchi kunyimwa misaada na Bank ya dunia je watakaoathirika Ni viongozi Ni viongozi wa serikali tu na sio Watanzania wote?

3.Mh Zitto so wewe ulimsifia mhe Rais Magufuli pale Kigoma kwa kuleta maendeleo au ulikuwa umeelewa?

4. Mh.zitto kwanini umekuwa hayawani mpaka unafanya Upuuzi na Umazwazwa ulioukemea Tarehe 18 July 2017.?

Hapo ndipo utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE ni mwanasiasa MNAFIKI na hajaanza leo ndio maana alifukuzwa Chadema kwa aibu.

HUU NI UTANGULIZI NARUDI KUTOA USHAHIDI KUHUSU WAKALA HUU WA MABEBERU.

Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kuwambia watanganyika watanzania sio wazalendo, mabeberu wanawatumia.

Tumezoea kusikia wimbo huu unafiki wenu
 
Back
Top Bottom