CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 245
- 314
ZITTO KABWE SASA UMEFIKA WAKATI WA KUAMBIWA UKWELI.
Na David maphone
Nilikuwa kimya kwa muda katika mitandao ya kijamii lakini upotoshaji wa ZITTO na siasa zake za kinafiki umenifanya nirejee kwa afya ya nchi yetu.
Ukisoma maandiko ya ZITTO au ukisikiliza maelezo yake mbalimbali utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE hana nia njema na nchi yetu na unatumiwa na MABEBERU kwa Maslahi yake binafsi.
ZITTO KABWE ni mwanasiasa anayejaribu kuwaaminisha Watanzania hasa wafuasi wake kuwa anajua Kila kitu kuliko watanzania wote.
Kwa wale wasiomfahamu ZITTO KABWE ni wakati sasa wa kumfahamu kupitia Ukurasa wangu,
Kwanza Mh. Zitto kabwe ni mwanasiasa aliyebarikiwa kukosa haya (Hana aibu) ndio maana anaweza kutoa Takwimu za uongo pamoja na Mamlaka zikatoa ufafanuzi kwa ushahidi kabisa (Documents) lakini kesho yake anaibua tena na uongo mwinginee kwa sababu ya kutokuwa na aibu.
Mfano hivi karibu Ni sakata la korosho pamoja na makelele yote yale ya ZITTO KABWE ilikuja kubainika kuwa Mhe Zitto Kabwe anamiliki mashamba ya korosho Mtwara.
Hivyohivyo kwenye makampuni ya madini Mh. ZITTO KABWE inadaiwa kuwa ana mgao wake kwenye makampuni hayo na ndio watoto wake wanasomeshwa shule za gharama kubwa.
UNAFIKI WA ZITTO
Wakati leo Mh ZITTO akizunguka dunia kwa agenda ya kusaka Demokrasia huko nje Ni ZITTO huyu mwaka 2016 alisimama mbele ya Watanzania na kumshambulia Tundu lissu na Chadema kuwa Mambo ya Ndani ya nchi yanamalizwa ndani ya nchi,akasema (Nanukuu) "Ni uzwazwa kwa mwanasiasa kishabikia nchi kukosa misaada kwa sababu watakaoathirika ni watanzania wote"
Mh ZITTO aliendelea kusema Ni siasa za kishamba kupeleka masuala yetu ya ndani nje ya nchi na kwaamba chama chake hakiungi mkono, Vile vile ukipitia account yake ya Twitter,July 17 alitwit kwa kusema "huu ni UHAYAWANI.hii ni nchi huru kukaribisha wageni kuingilia Mambo yetu Ni UPUUZI na UMAZWAZWA,tupambane ndani kuleta Demokrasia ya ndani"hapo Mh ZITTO alikuwa akijibu Twitter ya swahili Times ya tarehe 18july 2017, iliyomnukuu Tundu lissu kiongozi wa CHadema waliyotaka Jumuiya ya kimataifa kuinyima misaada watanzania kutokana na walichokidai kuwa ni ikiukwaji wa Demokrasia.
Zitto kabwe anapigania maslahi yake lukuki na sio Maslahi ya watanzania
Swali langu:
1. Mh. Zitto leo anazunguka dunia kusaka demokrasi kama alivyomkemea Lissu na Chadema.Je huo ni ushamba?
2.Mh Zitto leo ana sherehekea nchi kunyimwa misaada na Bank ya dunia je watakaoathirika Ni viongozi Ni viongozi wa serikali tu na sio Watanzania wote?
3.Mh Zitto so wewe ulimsifia mhe Rais Magufuli pale Kigoma kwa kuleta maendeleo au ulikuwa umeelewa?
4. Mh.zitto kwanini umekuwa hayawani mpaka unafanya Upuuzi na Umazwazwa ulioukemea Tarehe 18 July 2017.?
Hapo ndipo utagundua mheshimiwa ZITTO KABWE ni mwanasiasa MNAFIKI na hajaanza leo ndio maana alifukuzwa Chadema kwa aibu.
HUU NI UTANGULIZI NARUDI KUTOA USHAHIDI KUHUSU WAKALA HUU WA MABEBERU.