Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kunipuuza kwako hakuwezi kuubadilisha ukweli. Ukweli utabakia pale pale kuwa tunachokifanya eti kupokea ndege, siyo jambo la kawaida.Wewe na Zitto hamna hoja ni vibaraka wa mabeberu
Nimeamua kuwa puuuza rasmi sasa
Ndege hizi kama bombadier, kule Canada ni daladala za angani. Mahali popote hata penye population ndogo, wala siyo hata miji ya kiwango cha makao makuu ya wilaya za hapa kwetu, zinatua na kuruka mara kadhaa kwa kila siku.
Hizi bombadier kule Canada tulikuwa tunaamini ni ndege ambazo kila kampuni kubwa inakuwa nayo kwaajili ya usafiri wa wafanyakazi wake, kama shughuli mnazofanya zipo maeneo remote. Na hata kampuni zilipokuwa zikinunua hatukuwa tunasikia eti kulikua na hafla ya kuzipokea.
Kama tutakuwa tunakusanyika kwa kila tunapopokea tulichonunua, tena kwa vitu vya kawaida kama bombadier, tutakusanyika mara ngapi kwa mwaka kwa matukio kama hayo?
Kuipokea ile moja ya kwanza ilitosha kuwa kiwakilishi cha zote zitakazofuata.