Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

Zitto Kabwe: Sitagombea tena Uongozi ndani ya ACT WAZALENDO, najikita kwenye Ubunge. Malengo yangu ni kuwa Rais wa Tanzania

Umeandika mambo ya kushangaza:

1. Unajua wanachama wa hicho chama leo ndiyo hao hao waliouliwa na kuumizwa 2020?

2. Unajua wanachama wa hicho chama ndiyo hawa hapa:

View attachment 2933431

3. Tunawazodoa wapi hao #1 na #2?

4. Kama wao kama sisi tuliingia kwenye maridhiano mezani na CCM kusaka nusu mkate?

5. Kulikoni nusu mkate yao ni haramu ila yetu?

6. Ulitafakari kweli yote yakiwamo hayo kabla ya kuwaangushia tuhuma labda zisizo wahusu?

7. Kulikoni tusijikite kusaka umoja badala ya mifarakano dhidi ya adui yetu?
Hao sio wanachama wa ACT ni wafuasi wa Maalim Seif. Mnapenda kudandia mambo. ACT ya Sasa ni dhoofu bin tabu.
 
Nimesoma bandiko lako vzur lakini nimefikia hitimisho kwamba wakati wa harakati za Zitto ama ulikuwa shule ama ulikuwa underbed na hivyo hukupata kujua kilichoendelea..
Hoja yako ya kumjua Zitto labda niseme kati yako na Saed Kubenea jipime nnan anayeweza kuwa alimjua/anamjua Zitto.Mwaka 2019 Saed Kubenea alikuwa mhariri wa Mwanahalisi nadhan alikuwa kinara wa kurusha mawe kwa Zitto kwa makala na kiujumla gazeti lake loote.Unajua baadae Saed Kubenea alijoin kwa Zitto.Hapa itoshe kusema zile makala hukuwah kuzisoma huenda ulikuwa shule..
Hoja ya kuupigania umri wa urais kushushwa,hapa napo uko shallow sana mzee.Zitto kiasili ni mwanamabadiliko kama haujui nikupe taarifa ndio mtu pekee aliyeanzisha au kupambania vijana kuwa bungeni,mwenyew alikuwa kijana mdogo tu kuingia bungeni na aliwapa morale vijana wengine kuingia bungeni.So alijua ujana sio kikwazo cha kushika hatamu,thats y.Kwanini hataki kugombea Urais sasa hivi(!)hilo halikuhusu coz kwenye siasa utakuwa mtu mjinga kufanya jambo bila kutazama mazingira kama yapo favourable.Naomba nikupe mfano ili ujue kuwa ni vzuri kutazama mazingira kabla ya kufanya maamuzi.Wakati wa Magufuli Chadema hamkuandamana kwanini(wakati katiba inaruhusu,mliogopa nn)?..Jibu hapo ni mazingira ya kisiasa..
Hoja ya ukosoaji wa Zitto wakati wa Magufuli,Kikwete na sasa.Kwanza unaonekana haujui chochote kumhusu Zitto na ama haumfuatilii aina ya siasa zake.Kwani ukosoaji wa CHADEMA dhidi ya viongozi hao tofautitofauti unafanana?In every action there must equal and opposite reaction.Ukosoaji unaendana na nguvu ya utendaji wa Serikali!
Umeweka waz kwamba huipendi CHADEMA lakini umeficha kwamba UNAIPENDA CCM.Infact ACT huielewi and thats ok.Mtu asiyeelewa jambo huwa ni mjinga katika jambo hilo.Bado unamuda wa kutosha unaeza kujieleimisha au laa huwez wapigie Simu DR.Slaa,Saed Kubenea na wengine weengi watakwambia whos Zitto is.😅
Zitto msaliti tu Hana jipya.
 
Mrejeshi wa Nini? Nimeshamjibu. Ukiona kiongozi wa chama Cha siasa yupo madarakani Ina maana Katiba inamruhusu kuendelea. Huyo Zitto Katiba ya ACT ilimwekea limit ya miaka kumi. Sasa unafiki wenu mnadhani ni hiari yake. Acheni hizo.

Huo ni mrejesho wa hitaji hili?

"Nipe mfano wa chama kingine cha upinzani ambapo mwenyekiti au kiongozi wake ameheshimu ukomo wa uongozi kikatiba hapa Tanzania!..
Ukishindwa jitambue kuwa wew ni zwazwa."

Kwa hiyo mfano uko wapi ndugu?


Cc: 1120ulimwengu
 
Hao sio wanachama wa ACT ni wafuasi wa Maalim Seif. Mnapenda kudandia mambo. ACT ya Sasa ni dhoofu bin tabu.

1. Kwani Maalim Seif alikuwa mwanachama wa CUF au CCM?

2. Udhaifu wa mpinzani mwingine si tija kwa yeyote zaidi ya CCM na vibaraka wake (kwa kujitambua au kutokujitambua kwao).
 
Huo ni mrejesho wa hitaji hili?

"Nipe mfano wa chama kingine cha upinzani ambapo mwenyekiti au kiongozi wake ameheshimu ukomo wa uongozi kikatiba hapa Tanzania!..
Ukishindwa jitambue kuwa wew ni zwazwa."[/]

Kwa hiyo mfano uko wapi ndugu?

Cc: 1120ulimwengu
Kama ukomo haupo? Utaheshimu Nini?
 
Zwazwa mwenyewe chawa wa CCM. Ukiona kiongozi bado yupo kwenye cheo Ina maana katiba bado inampa muda. Wewe kweli jinga la CCM . Huyo Zito kaondoka maana katiba inatambua miaka kumi. Sasa hapo unamsifu ya Nini? Yani Kikwete kamaliza miaka kumi ya uongozi, halafu mnaanza kumsifu wakati katiba imemlazimisha. Acheni unafiki

CCM watakuwa na furaha sana kokote kule waliko. Makasiriko yote ya nini ndugu?
 
1. Kasema sana Prof. Lwaitama. Tatizo zaidi ninadhani ni makamanda uchwara wasioweza kutambua umoja wetu ulikuwa muhimu zaidi kama kipaumbele:

a) Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

b) CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?


c) Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

2. Ajabu na kweli makamanda kama hao wako radhi kushirikiana na CCM ikibidi lakini si dhidi ya mpinzani mwenzao.

3. Ya zama zile Mbeya ni kama haya haya.

4. Kwamba tunasaka ustaa, au kumfurusha CCM?

Al Watani, Bams, JokaKuu, Economist

..nasubiri ACT Wazalendo wajitoe ktk serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.

..mtakumbuka CDM nao wamejitoa ktk mazungumzo ya maridhiano na CCM.
 
1. Kwani Maalim Seif alikuwa mwanachama wa CUF au CCM?

2. Udhaifu wa mpinzani mwingine si tija kwa yeyote zaidi ya CCM na vibaraka wake (kwa kujitambua au kutokujitambua kwao).
Ninaamini ACT sio wapinzani. Mpinzani alikuwa maalim seif pekee.
 
Miaka 10 iliyopita alikuwa anadai apewe nafasi ya kugombea urais Sasa hivi anarudi kwenye ubunge, tukisema kipindi kile alikuwa anatumika tutakuwa tunakosea.
Nakumbuka akiwa CHADEMA 2010 kwenye kampeni za ubunge alidai akirudi 2015 atakuja kugombea urais na sio ubunge. Ila ilipofika 2015 akarudisha nyuma majeshi.
 
..nasubiri ACT Wazalendo wajitoe ktk serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.

..mtakumbuka CDM nao wamejitoa ktk mazungumzo ya maridhiano na CCM.

1. Inafahamika wengine hatukuyapenda maridhiano tokea day 1.

2. Hapo #1 tukakubaliana kutofautiana.

3. Kulikoni tusiendelee kukubaliana kutofautiana: watoke au wasitoke?
 
Imani yako haiwezi kuwa ndiyo msahafu rasmi au vipi?
Ndio maana nikasema ninaamini. Kwa sababu huyo Zito na kundi lake lote waliohamia CCM akina Kitila, mwigamba, Mkumbo, mgwira nk. Waliposhindwa kuiangusha CHADEMA wakakimbilia CCM kupewa teuzi. Leo utaniamisha vipi kwamba ACT ni wapinzani?
 
Mfano nitoe wapi?. Maana kama katiba haijatoa limit ya muda unalazimisha watu wastaafu?
Na ndipo mleta hoja alipokwambia utoe mfano. Ukiupata nilimwomba, sina shaka utakapompa atanambia. Tatizo liko wapi ndugu?

Haya ya kuiangusha Chadema ni mawazo yako. Binafsi nachukizwa na wasiotaka umoja.
 
1. Inafahamika wengine hatukuyapenda maridhiano tokea day 1.

2. Hapo #1 tukakubaliana kutofautiana.

3. Kulikoni tusiendelee kupenda kukubaliana kutofautiana: watoke au wasitoke?

1. ACT hawajapata walichotegemea kupitia Serikali ya Umoja wa Kitaifa.

2. CDM hawajapata walichokitegemea kupitia mazungumzo ya maridhiano.

3. Wote wajipange upya na kuja na mikakati ya kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom