Zitto Kabwe: Tangu Mbowe anifukuze nimeanzisha Chama na Kinaongoza Serikali Kina Wabunge Wengi Zaidi yake nimestaafu na Sasa nalima Kahawa

Rula ya Mafisadi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
404
Reaction score
852
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.

Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)

IMG-20250119-WA0107(1).jpg
 
View attachment 3206275
Zitto unataka kuua mende kwa risasi? Siyo poa umeongea ukweli mtupu.
 
Kwenye yale mahojiano Mbowe aliongea kitoto sana. Stress anazopewa na wapinzani wake zinapunguza uwezo wake kiakili.
Wataalamu huwa wanamsemo "a greater dancer knows when to leave the stage" inanikumbusha miaka ya 1980 mwanzoni mwa miaka ya 1980 alikuwa bado undisputed akashauriwa astaafu record yake ikae vizuri pia kwa usalama wa afya yake akajiona bado yuko fit alipo ingia ulingoni alichakazwa mzee wa watu 🙌ujue kuna muda akili huwa inaona bado unaweza lakini mwili na umri vikakutaa

Hii Naiona Ata kwa Dr. Kimei alidhani akigombea ubunge atateuliwa kuwa waziri Baada ya kustaafu Ukurugenzi utendaji wa CRDB lakini wapi Hola haskiki
 
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.

Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)

View attachment 3206275
Zitto ni mswahiliiiii, huwa anachamba watu hadi na taarab huyu.
Nimecheka sana.
 
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.

Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)

View attachment 3206275
Mbowe anapigwa spana kila sekunde
 
Back
Top Bottom